Nini husababisha harufu mbaya ya Uke kudumu kwa muda mrefu kwa mwanaume aliyelala nae?

Hili suala limekua sugu kwa wanawake wengi sana,sijui nini haswa tatizo yani masaa nawili baada ya game haumkaribishi mshikaji ndani hata upige air fresh,cha kushangaza unakuta binti mzuri tena haswaa wenye shape hawa usithubutu hata kumweka mbuzi kagoma kwenda utajuta aghrrrrrr
 
Madaktari tafadhalini naomba huu msaada wenu wa haraka kwani sasa ni Wiki ya pili hii ' inatiririka ' nililala la Mwanamke mmoja hivi ambaye kusema ukweli Mnyange ( Mrembo ) wa kweli nadhani hata angekuwa ' anashiriki ' Miss Tanzania kila mwaka angeibuka tu Yeye Mshindi ila nilichokuja kukikuta Kwake ni ' harufu ' moja ' mbaya ' iliyokuwa inatoka kuna Ukeni / Mbunyeni Kwake ambayo hadi hivi sasa ' naserereka ' kuandika huu ' uzi ' Kwenu hii harufu ninayo na haitaki kunitoka mwilini Kwangu.

Nikipata msaada wenu wa majibu ya nini husababisha hiyo ' harufu ' kali na tiba yake ni nini nitawashukuruni sana Madaktari mliopo humu kwani najijua mwenyewe nilivyo na ' bahati ' ya kukutana na Wanawake ' wanukao ' Mbunye / Uke hivyo ufafanuzi wenu utanisaidia pindi nikikutana na mwingine.

Haiwezekani Mtu nimelala / nimebanduana nae sasa takribani wiki mbili zimepita na natumia kila aina ya Sabuni na hata ' udi ' najifukiza tu lakini kile ' kiharufu ' kibaya na cha ' karaha ' cha Mbunye / Uke bado tu kinaniandama. Kinanikosesha sana amani!

Nawasilisha.
Duh..!
Ni kweli mkuu maana hata nilivyosoma huu uzi wako nimeisikia hiyo harufu.!
Ni harufu flani hivi kama panya aliyeoza au kama uozo wa samaki.!
Pole sana mkuu.
Kuna uwezekano harufu hiyo ikawa mpaka kwenye vyeti vyako hebu fanya kuvileta hapa tuone.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kwanza nikushukuru kwa kua muwazi na mpenda sifa (kwamba huyo demu wako hata angeshiriki mashindano ya miss tz angeibuka mshindi kila mwaka)

Watz tusiwe wajinga, hivi mtu anayeweza kuibuka mlimbwende kila mwaka, unaweza kumuacha kwa kulala nae usiku mmoja tu? Hiyo sio ishu, ishu ni pale uliposhindwa kumsaidia aondokane na tatizo na ukakimbilia humu kuomba ushauri wakati umeshamuacha (sasa sijui unataka ushauri wa nn) na unatulazimisha yukubali kua ni mrembo.

Wanaume siku hizi tunapungua tu. Wamebaki wakiume, kazi yao ni kusutana na kuchunguza ya wenzao. Vifua vyao vina kazi moja tu, ya kuzuia viungo vya ndani visionekane/visidhuriwe, ila kutunza siri za wanawake wao hakuna
 
dizaini umekuja kuwaumbua dada zetu, mama zetu ,wapenzi wetu n.k! inawezekana una hoja nzuri lakini namna ulivyoiwasilisha sio nzuri!!! Be gentleman ongea nae kistarabu kwa lugha laini muende hosp kwa wataalamu wa magonjwa ya wanawake afanyiwe checkup! Good lucky!!!
 
Huu ni mtazamo wako tu wa ki ' upupu ' ambao hata hivyo siushangai sana.
 
Duh..!
Ni kweli mkuu maana hata nilivyosoma huu uzi wako nimeisikia hiyo harufu.!
Ni harufu flani hivi kama panya aliyeoza au kama uozo wa samaki.!
Pole sana mkuu.
Kuna uwezekano harufu hiyo ikawa mpaka kwenye vyeti vyako hebu fanya kuvileta hapa tuone.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] comedy
 
Madaktari tafadhalini naomba huu msaada wenu wa haraka kwani sasa ni Wiki ya pili hii ' inatiririka ' nililala la Mwanamke mmoja hivi ambaye kusema ukweli Mnyange ( Mrembo ) wa kweli nadhani hata angekuwa ' anashiriki ' Miss Tanzania kila mwaka angeibuka tu Yeye Mshindi ila nilichokuja kukikuta Kwake ni ' harufu ' moja ' mbaya ' iliyokuwa inatoka kuna Ukeni / Mbunyeni Kwake ambayo hadi hivi sasa ' naserereka ' kuandika huu ' uzi ' Kwenu hii harufu ninayo na haitaki kunitoka mwilini Kwangu.

Nikipata msaada wenu wa majibu ya nini husababisha hiyo ' harufu ' kali na tiba yake ni nini nitawashukuruni sana Madaktari mliopo humu kwani najijua mwenyewe nilivyo na ' bahati ' ya kukutana na Wanawake ' wanukao ' Mbunye / Uke hivyo ufafanuzi wenu utanisaidia pindi nikikutana na mwingine.

Haiwezekani Mtu nimelala / nimebanduana nae sasa takribani wiki mbili zimepita na natumia kila aina ya Sabuni na hata ' udi ' najifukiza tu lakini kile ' kiharufu ' kibaya na cha ' karaha ' cha Mbunye / Uke bado tu kinaniandama. Kinanikosesha sana amani!

Nawasilisha.
mkuu POPOMA mtafutie KIKUBA atie mbunyeni kitafyonza uchafu wote ,mbunye itanukia mpaka utatamani kuinyonya .
 
Kama umemaliza sabuni zote napatwa na waswas pengine we ndo source ya hiyo harufu mbaya. Inawezekanaje uambukizwe harufu????
 
Madaktari tafadhalini naomba huu msaada wenu wa haraka kwani sasa ni Wiki ya pili hii ' inatiririka ' nililala la Mwanamke mmoja hivi ambaye kusema ukweli Mnyange ( Mrembo ) wa kweli nadhani hata angekuwa ' anashiriki ' Miss Tanzania kila mwaka angeibuka tu Yeye Mshindi ila nilichokuja kukikuta Kwake ni ' harufu ' moja ' mbaya ' iliyokuwa inatoka kuna Ukeni / Mbunyeni Kwake ambayo hadi hivi sasa ' naserereka ' kuandika huu ' uzi ' Kwenu hii harufu ninayo na haitaki kunitoka mwilini Kwangu.

Nikipata msaada wenu wa majibu ya nini husababisha hiyo ' harufu ' kali na tiba yake ni nini nitawashukuruni sana Madaktari mliopo humu kwani najijua mwenyewe nilivyo na ' bahati ' ya kukutana na Wanawake ' wanukao ' Mbunye / Uke hivyo ufafanuzi wenu utanisaidia pindi nikikutana na mwingine.

Haiwezekani Mtu nimelala / nimebanduana nae sasa takribani wiki mbili zimepita na natumia kila aina ya Sabuni na hata ' udi ' najifukiza tu lakini kile ' kiharufu ' kibaya na cha ' karaha ' cha Mbunye / Uke bado tu kinaniandama. Kinanikosesha sana amani!

Nawasilisha.
Ndo yule Shemeji yetu wa futuhi??
 
Kunaonekana tatizo hili ni kubwa sana ,maana mada hizi zimekuwa nyingi sana wakati wanaume wa Tanganyika wakisumbuliwa na tatizo la nguvu wanawake ni tatizo hili
 
Back
Top Bottom