Nini husababisha mwanaume kunenepa makalio na mapaja na si misuli?

Nini husababisha mwanaume kunenepa makalio na mapaja na si misuli?

View attachment 3615207
Nikiona wanaume wenye makalio makubwa na mapaja mapana kama wanawake kama Bashiti, siishi kujiuliza kunani au kuna namna. Wenye kujua hali au ugonjwa huu wanielimishe. Naogopa kuwahukumu wenye makalio makubwa au mabashiti bila kujua sababu za hali hii.
Fuatilia - wengi wa hivyo wana mambo ya kike kike... Matambo, masifa... Asilimia kubwa hata marafiki zao ni wa kike kike... Wengine wanadiriki kusema pia ni burudani kwa yeyote.
 
Back
Top Bottom