Nini husababisha vikombe kugongana ndani ya Kabati?

Nini husababisha vikombe kugongana ndani ya Kabati?

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Binafsi sijawahi kusikia vikombe vikigongana Kabatini nasikia tu kwenye stori za watu na hata licha ya kusoma science bado sijaona hii hali imeelezewa hivyo naomba mwenye jibu la Kisayansi anisaidie inakuwaje kikombe kikamtembelee jirani yake?
 
binafsi sijawah I kusikia vikombe vikigongana Kabatini nasikia tu kwenye stori za watu na hata licha ya kusoma science bado sijaona hii hali imeelezewa hivyo naomba mwenye jibu la Kisayansi anisaidie inakuwaje kikombe kikamtembelee jirani yake?
Hizo ni nahau,mbinu,misemo na mafumbo ya lugha tu ya kiswahili.
KUMBUKA:Tetemeko la ardhi likipita vitagongana tu.
 
Back
Top Bottom