ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Hujawah kuishi nyumba yenye panya wewe mkuu..ungeelewa vizur
Mkuu Mimi namaanisha kabati likiwa limetulia inakuaje vikombe ambavyo navyo vimetulia vifanye movementsNyanyua kabati upande mmoka uone balaa lake
Hapo hata mimi sielewi huenda kuna wanaojua tusubiri majibu.Mkuu Mimi namaanisha kabati likiwa limetulia inakuaje vikombe ambavyo navyo vimetulia vifanye movements
Oohh uncle panya akiingia kabatini ,vikombe lazima vigongane tuKumbe huwa ni Panya me nikajua vyenyewe tu
Lini utakuwa na akili 🤣🤣🤣Vikombe vya kichina huwa vina vidole.
Mkilala usiku vinaanza kutembeleana na kusogeleana ili vidinyane.
Ndio maana ukiamka asubuhi unakuta vina nyufa kumbe chanzo ni mgegedo wa usiku na mikito.
Sasa mkuu tukileta utani mnasema tuwe serious..tukiwa serious mnatushangaa tenaMko serious na hii mada?
Hahahaha anyway mkitaka jibu mtafuteni huyu mwalimu wa upe Mpwayungu VillageSasa mkuu tukileta utani mnasema tuwe serious..tukiwa serious mnatushangaa tena
Externo forcesbinafsi sijawah I kusikia vikombe vikigongana Kabatini nasikia tu kwenye stori za watu na hata licha ya kusoma science bado sijaona hii hali imeelezewa hivyo naomba mwenye jibu la Kisayansi anisaidie inakuwaje kikombe kikamtembelee jirani yake?
Kwa hiyo mkuu we unaona hili halihitaji maelezo ama tafitiMko serious na hii mada?
Can you please explain more about thisExterno forces
Rejea juu nadhani mapendekezo nloweka yanaweza toa jibuKwa hiyo mkuu we unaona hili halihitaji maelezo ama tafiti
Hizo ni nahau,mbinu,misemo na mafumbo ya lugha tu ya kiswahili.binafsi sijawah I kusikia vikombe vikigongana Kabatini nasikia tu kwenye stori za watu na hata licha ya kusoma science bado sijaona hii hali imeelezewa hivyo naomba mwenye jibu la Kisayansi anisaidie inakuwaje kikombe kikamtembelee jirani yake?