Eeehh kumbe nawewe umo kwenye watumishi.. Sawa mtumishiUpendo ni lazima uambatane na wivu... Ata Mungu wetu ana wivu kwetu kwa sababu anatupenda...! (Kutoka 20:5, 34:14)
Wivu utakaopitiliza ndo unakua matatizo... Either huyo mtu hajiamini au ana matatizo ya akili
Umimi ni tatizo ndio, ila kuna wivu ambao ni acceptableUmimi ni tatizo kubwa sana
Sasa hapo hamna issue ya wivu. Hayo ni maumivu ya moyo kutokana na kuachwa. Mkuu haya mambo hayana ufundi shauri yako. Siku ukileta uzi umepasuliwa moyo kuna watu wanajua kutuza records utadhani wana phd za records management..me huwa nawashangaa sana wanaume wenzangu wanaokua na wivu kwa wapenzi wao...unakuta lingine kubwa zima na ndevu zake linajiliza eti kisa galfriend kalikimbia...ni utaahira.
Naomba tafsiri ya wivu uliopitilizaUpendo ni lazima uambatane na wivu... Ata Mungu wetu ana wivu kwetu kwa sababu anatupenda...! (Kutoka 20:5, 34:14)
Wivu utakaopitiliza ndo unakua matatizo... Either huyo mtu hajiamini au ana matatizo ya akili
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji16]Eeehh kumbe nawewe umo kwenye watumishi.. Sawa mtumishi
Upoje huo wivu ambao ni acceptable.Umimi ni tatizo ndio, ila kuna wivu ambao ni acceptable
Hafu wewe....Usitake tukaanza kupanga foleni aise
He hee tukutane kule unambie vizuriHafu wewe....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]me huwa nawashangaa sana wanaume wenzangu wanaokua na wivu kwa wapenzi wao...unakuta lingine kubwa zima na ndevu zake linajiliza eti kisa galfriend kalikimbia...ni utaahira.
Mule mule mkuu[emoji41][emoji41]Kwamba mtu anakua na mprnzi wake ila mawazo yake mara nyingi ni hivi
"Huyu nahisi ananidanganya"
"Amebadilika au kapata mtu mwingine" n.k
Yani unakuwa hujiamini kama mwenzio ni mwaminifu kwako
Wivu ninavyoona ni emotion ya kawaida pale ambapo mapenzi yapo... Ni hali ya kujiona mmiliki wa mtu fulani na chochote kinachotishia umiliki wako kinakufanya uhisi wivu... Wivu unapitiliza pale unapochukua nafasi kubwa kwako mpaka kuathiri maamuzi na mapenzi yenu. Unaanza kufuatilia mienendo ya mwenzako ili tu kuhakikisha kua penzi lenu liko salama... Wengine wanaenda mbali hadi kuwatishia wale wanaokuja karibu na wenza waoNaomba tafsiri ya wivu uliopitiliza
Unacheka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji16]
Kwa mfano mimi sipendi mpenzi wangu awe na urafiki na mpenz wake wa zamani. Je huo ni wivu wa kawaida au ni wivu uliopitiliza ?Wivu ninavyoona ni emotion ya kawaida pale ambapo mapenzi yapo... Ni hali ya kujiona mmiliki wa mtu fulani na chochote kinachotishia umiliki wako kinakufanya uhisi wivu... Wivu unapitiliza pale unapochukua nafasi kubwa kwako mpaka kuathiri maamuzi na mapenzi yenu. Unaanza kufuatilia mienendo ya mwenzako ili tu kuhakikisha kua penzi lenu liko salama... Wengine wanaenda mbali hadi kuwatishia wale wanaokuja karibu na wenza wao
Huo ni wa kawaida mkuu!!! Utapitiliza pale ambapo utamkataka kua na marafiki wengine wa kiume!!!Kwa mfano mimi sipendi mpenzi wangu awe na urafiki na mpenz wake wa zamani. Je huo ni wivu wa kawaida au ni wivu uliopitiliza ?