Nini husababisha wivu katika Mapenzi

Nini husababisha wivu katika Mapenzi

Mungu mwenyewe ni mwenye wivu sometimes, sembuse mi na wewee
 
Wivu ni ugonjwa wa mtu asiyejiamini.Kwaiyo ukiona una wivu na mpenzi wako jua haujiamini kua uko peke yako kwake au huamini kua uko nae.Kwaiyo unajikuta unaweka madhaifu yako kwake.
 
Upendo ni lazima uambatane na wivu... Ata Mungu wetu ana wivu kwetu kwa sababu anatupenda...! (Kutoka 20:5, 34:14)

Wivu utakaopitiliza ndo unakua matatizo... Either huyo mtu hajiamini au ana matatizo ya akili
Eeehh kumbe nawewe umo kwenye watumishi.. Sawa mtumishi
 
me huwa nawashangaa sana wanaume wenzangu wanaokua na wivu kwa wapenzi wao...unakuta lingine kubwa zima na ndevu zake linajiliza eti kisa galfriend kalikimbia...ni utaahira.
Sasa hapo hamna issue ya wivu. Hayo ni maumivu ya moyo kutokana na kuachwa. Mkuu haya mambo hayana ufundi shauri yako. Siku ukileta uzi umepasuliwa moyo kuna watu wanajua kutuza records utadhani wana phd za records management..

Watakuletea ulichosema kisha ubaki umeduwaa
 
me huwa nawashangaa sana wanaume wenzangu wanaokua na wivu kwa wapenzi wao...unakuta lingine kubwa zima na ndevu zake linajiliza eti kisa galfriend kalikimbia...ni utaahira.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Naomba tafsiri ya wivu uliopitiliza
Wivu ninavyoona ni emotion ya kawaida pale ambapo mapenzi yapo... Ni hali ya kujiona mmiliki wa mtu fulani na chochote kinachotishia umiliki wako kinakufanya uhisi wivu... Wivu unapitiliza pale unapochukua nafasi kubwa kwako mpaka kuathiri maamuzi na mapenzi yenu. Unaanza kufuatilia mienendo ya mwenzako ili tu kuhakikisha kua penzi lenu liko salama... Wengine wanaenda mbali hadi kuwatishia wale wanaokuja karibu na wenza wao
 
Kwa mfano mimi sipendi mpenzi wangu awe na urafiki na mpenz wake wa zamani. Je huo ni wivu wa kawaida au ni wivu uliopitiliza ?
 
Kwa mfano mimi sipendi mpenzi wangu awe na urafiki na mpenz wake wa zamani. Je huo ni wivu wa kawaida au ni wivu uliopitiliza ?
Huo ni wa kawaida mkuu!!! Utapitiliza pale ambapo utamkataka kua na marafiki wengine wa kiume!!!
 
Inategemea na nature ya mtu.
Sio kila mwenye wivu ana mapenzi ya dhati...Mosi Wengine Hawajiamini hawaamini uwepo wa wapendwa wao kwao..Wana hofu ya kusalitiwa.

Wengine wanajifanya wana wivu ili kulinda usaliti wao wasishtukiwe.

All In All, Wivu ni kutokujiamini tu na kumuamini mwenzio.

Ni kujiendekeza tu pasipo sababu.
 
Back
Top Bottom