wengine tuna roho za peponi lazma nimdekeze asa yale mazoe jinsi nimdekezapo kwa upooolee,kwa mawada lazma niwe na wivu hii ni natural toka kwa adam na eva [emoji125][emoji125][emoji125]
Not more than you my queen...View attachment 492628
You are best of all Smart911 mylove
Do you know that!??
You are the only one who makes me smile always you make me happy Always
Love you so much Smart911
Never on earth kakaYou wanna share your utamu with other people Bro!?
Wivu ni jambo la asili sana,ni jambo linaloonyesha kwamba kitu ambacho kipo kwenye himaya yako hutaki kukipoteza mana bado unakipenda na kina umuhimu kwako,hata MUNGU anaona wivu pale shetani anavyoangamiza watu wake,nayo ni mapenzi piaHabari Wana jukwaa!
Sina mengi sana zaidi ya kutaka kufahamu hasa ninini husababisha wivu katika mapenzi??
View attachment 492609 View attachment 492611 View attachment 492612
Karibuni kwa mawazo mtazamo na maoni yenu
Habari Wana jukwaa!
Sina mengi sana zaidi ya kutaka kufahamu hasa ninini husababisha wivu katika mapenzi??
View attachment 492609 View attachment 492611 View attachment 492612
Karibuni kwa mawazo mtazamo na maoni yenu
Hahah ukijiskia wivu tu jua you mean business ingawa wivu uwe kwa afya sasa. Sio hadi mtu ashindwe kufanya kaziMi napenda mwenye wivu mkuu napenda mimi
Wivu uliozid sana upoje huo ?Wivu husababishwa na kutokujiamini..ubinafsi..na upendo kupita kiasi...
Vile vile wivu kwa kiasi fulani unasaidia kuboresha mapenzi na muda mwingine pia huharibu mapenzi ikiwa umezidi sana..Natumai umenipata kwa 'kiduchu'