Nini husababisha wivu katika Mapenzi

Nini husababisha wivu katika Mapenzi

Maana wengine tuna roho za peponi lazma nimdekeze asa yale mazoe jinsi nimdekezapo kwa upooolee,kwa mawada lazma niwe na wivu hii ni natural toka kwa adam na eva [emoji125][emoji125][emoji125]
 
mahondaw my love, my heart and my life


4aece86e3d9005fdfb51def3c276cd90.jpg


I mean you mahondaw
 
hqdefault.jpg

You are best of all Smart911 mylove
Do you know that!??
You are the only one who makes me smile always you make me happy Always
Love you so much Smart911
 
Kutoaminiana (TRUST) mkuu. Pia mazoea ya kushika simu ya mwenzio sio kitu cha busara,haswa Kama mnataka kujenga mahusiano yenye Afya na Amani.
 
Habari Wana jukwaa!
Sina mengi sana zaidi ya kutaka kufahamu hasa ninini husababisha wivu katika mapenzi??
View attachment 492609 View attachment 492611 View attachment 492612

Karibuni kwa mawazo mtazamo na maoni yenu
Wivu ni jambo la asili sana,ni jambo linaloonyesha kwamba kitu ambacho kipo kwenye himaya yako hutaki kukipoteza mana bado unakipenda na kina umuhimu kwako,hata MUNGU anaona wivu pale shetani anavyoangamiza watu wake,nayo ni mapenzi pia
 
Hahah wivu mara zote ndio ushahidi tosha kuwa unapendwa kutoka moyoni na sio kinafiki...Ukiona mpenzi wako hakuonei wivu jua hahofii kukupoteza ama anakupumzikia tu ili akipata ampendaye akuache na mpenzi wa hivyo ni rahisi sana kukutaftia sababu au kukupelekesha.
 
Wivu husababishwa na kutokujiamini..ubinafsi..na upendo kupita kiasi...

Vile vile wivu kwa kiasi fulani unasaidia kuboresha mapenzi na muda mwingine pia huharibu mapenzi ikiwa umezidi sana..Natumai umenipata kwa 'kiduchu'
Wivu uliozid sana upoje huo ?
 
Back
Top Bottom