Nini hutokea hasa tunapokunywa energy drinks?

Nini hutokea hasa tunapokunywa energy drinks?

uzi mzuri Sana..naomba PIA kujua maana ya doti za rangi tofautitofauti zilizopo kwenye vikopo vya redbull kweye vitako
 
Tupe na faida za caffeine basi mkuu, nimeona hasara tu



Sent using Jamii Forums mobile app
Faida za caffeine hizi hapa
de2bceaa3ff59bf2a35be3da06902b76.jpg
... Halafu pima faida na hasara...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona sijawahi kusikia bia inachambuliwa hivi jamani????

Walevi embu mtuache jamani,kufa kupo tu.
 
Wabongo wengi hatuna utamaduni wa kusoma ingredients za kwenye bidhaa yoyote ile huwa tunanunua na kuanza kutumia tu.
 
Utumie usitumie bado huwezi kuishi miaka 200 kwenye dunia hii.na kila kitu kina athari dunia ya leo.Ata mkeo au mumeo ndani ya nyumba anaweza akawa ni hatari kwa afya yako.
 
Back
Top Bottom