Nini hutokea hasa tunapokunywa energy drinks?

Nini hutokea hasa tunapokunywa energy drinks?

Situmii SODA YOYOTE

Situmii ENERGY DRINK YOYOTE NA SIJAWAHI TUMIA

Situmii MAJANI YA CHAI

Situmii DAWA YOYOTE YA HOSPITALI WALA SINDANO.

Kwasababu tu ninatumia vitu vitatu:-

1) Maji ya kunywa ya vuguvugu

2) Asali mbichi tena mwitu.

3) Dawa za unga ya asili kabisa ya kimasai.

HAKIKA nina nguvu na nipo active siku zote kama FARASI.

Ni kwa miaka mingi kweli na Mwenyezi Mungu ni shahidi yangu.

We utakua msabato

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi maranyingi nasikiaga watu husema energy dring hupelekea matatizo katika mfumo wa uzazi endapo utakuwa unatumia mara kwa mara
Je kuna ukweri kuhusiana na hili??
 
Situmii SODA YOYOTE

Situmii ENERGY DRINK YOYOTE NA SIJAWAHI TUMIA

Situmii MAJANI YA CHAI

Situmii DAWA YOYOTE YA HOSPITALI WALA SINDANO.

Kwasababu tu ninatumia vitu vitatu:-

1) Maji ya kunywa ya vuguvugu

2) Asali mbichi tena mwitu.

3) Dawa za unga ya asili kabisa ya kimasai.

HAKIKA nina nguvu na nipo active siku zote kama FARASI.

Ni kwa miaka mingi kweli na Mwenyezi Mungu ni shahidi yangu.
Haya.Mwenzetu uko juu.Shahid yako mungu????
Umetisha
 
Back
Top Bottom