Nini hutokea hasa tunapokunywa energy drinks?

[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] you said well my brother.

Inatakiwa tuzithamini afya zetu wenyewe mana hao wafanyabiashara wanachoangalia wao ni pesa.

Hatimaye nimegongana na comment yako. Lol.

[emoji16][emoji16]leo tumekutana dah
 
uzi mzuri Sana..naomba PIA kujua maana ya doti za rangi tofautitofauti zilizopo kwenye vikopo vya redbull kweye vitako
 
Mbona sijawahi kusikia bia inachambuliwa hivi jamani????

Walevi embu mtuache jamani,kufa kupo tu.
 
Wabongo wengi hatuna utamaduni wa kusoma ingredients za kwenye bidhaa yoyote ile huwa tunanunua na kuanza kutumia tu.
 
Utumie usitumie bado huwezi kuishi miaka 200 kwenye dunia hii.na kila kitu kina athari dunia ya leo.Ata mkeo au mumeo ndani ya nyumba anaweza akawa ni hatari kwa afya yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…