Nini huwa hatma ya kesi zinazochukua muda mrefu sana?

Nini huwa hatma ya kesi zinazochukua muda mrefu sana?

Mwalaye

Senior Member
Joined
Jun 17, 2021
Posts
171
Reaction score
233
Nina ndugu yangu ana kesi toka mwaka 2014, yuko nje kwa dhamana. Kesi hii inamtesa sana, hana raha.
 
Nina ndugu yangu ana kesi toka mwaka 2014, yuko nje kwa dhamana. Kesi hii inamtesa sana, hana raha.
Kwa hali nyingine mumshukuru MUNGU hyo kesi imemtia ustaarabu la sivyo ukute kwa maisha yake mngeshamwokotea nje ya uwanja kwa faulo zake
 
Back
Top Bottom