M Mwalaye Senior Member Joined Jun 17, 2021 Posts 171 Reaction score 233 Oct 30, 2021 #1 Nina ndugu yangu ana kesi toka mwaka 2014, yuko nje kwa dhamana. Kesi hii inamtesa sana, hana raha.
Cryptographer JF-Expert Member Joined Aug 2, 2021 Posts 376 Reaction score 737 Oct 30, 2021 #2 Mwalaye said: Nina ndugu yangu ana kesi toka mwaka 2014, yuko nje kwa dhamana. Kesi hii inamtesa sana, hana raha. Click to expand... Kwa hali nyingine mumshukuru MUNGU hyo kesi imemtia ustaarabu la sivyo ukute kwa maisha yake mngeshamwokotea nje ya uwanja kwa faulo zake
Mwalaye said: Nina ndugu yangu ana kesi toka mwaka 2014, yuko nje kwa dhamana. Kesi hii inamtesa sana, hana raha. Click to expand... Kwa hali nyingine mumshukuru MUNGU hyo kesi imemtia ustaarabu la sivyo ukute kwa maisha yake mngeshamwokotea nje ya uwanja kwa faulo zake
M Mwalaye Senior Member Joined Jun 17, 2021 Posts 171 Reaction score 233 Oct 30, 2021 Thread starter #3 Cryptographer said: Kwa hali nyingine mumshukuru MUNGU hyo kesi imemtia ustaarabu la sivyo ukute kwa maisha yake mngeshamwokotea nje ya uwanja kwa faulo zake Click to expand... Ni mambo ya kazini!
Cryptographer said: Kwa hali nyingine mumshukuru MUNGU hyo kesi imemtia ustaarabu la sivyo ukute kwa maisha yake mngeshamwokotea nje ya uwanja kwa faulo zake Click to expand... Ni mambo ya kazini!
Nuraty J JF-Expert Member Joined Sep 18, 2018 Posts 1,729 Reaction score 3,831 Oct 30, 2021 #4 Mwalaye said: Nina ndugu yangu ana kesi toka mwaka 2014, yuko nje kwa dhamana. Kesi hii inamtesa sana, hana raha. Click to expand... Dah,ipo mahakama kuu au
Mwalaye said: Nina ndugu yangu ana kesi toka mwaka 2014, yuko nje kwa dhamana. Kesi hii inamtesa sana, hana raha. Click to expand... Dah,ipo mahakama kuu au