Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] umetisha mkali lakini ni ukweliTatizo nikuoa kutokana na msukumo wa nyege amna kingine
Over..
Mwisho wa siku mnizodoe, tufate tu sheria kwa kweli.Sheria zipi sasa, we achana na mambo ya sheria bana!
Wasiwasi wako tu...,tunakimbiza mwizi kimya kimya 😅 what happens in the Garage stays in the Garage!Mwisho wa siku mnizodoe, tufate tu sheria kwa kweli.
Very easy question:Kumekuwa na wimbi la usaliti sana siku hizi na tumekuwa tukishuhudia visa hata humu JF kuhusu usaliti na kuachana kwa wanandoa wachumba au wapenzi sababu ni nyingi sana lakini unavyoona wewe sababu kuu hasa inaweza kuwa nini?
Huna akili ww dogoNdoa haikupaswa kuwepo, binadamu tumejitengenezea jela yetu wenyewe.
Sawa.Huna akili ww dogo
WeweNdoa haikupaswa kuwepo, binadamu tumejitengenezea jela yetu wenyewe.
AbeeeWewe