Nini inaifanya Zanzibar iizidi Comoro kwa umaarufu?

GoldDhahabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2023
Posts
7,189
Reaction score
10,375
Zote ni visiwa katika bahari ya Hindi. Lakini ukivlinganisha, Zanzibar ni maarufu zaidi.

Kwa nini imekuwa hivyo?

Inaweza kuwa ni kwa vile Zanzibar inanufaika na rasilimali za Tanganyika? Comoro ikipata fursa ya kuvifaidi vya Tanganyika kama Zanzibar itaweza kuwa maarufu kama Zanzibar?
 
Kwani Comoro walikua koloni la nani?
 
Zanzibar Ni nchi ya kihistoria ilipata Uhuru zaman sana kabla hata ya nchi nyingi za Africa
 
comoro ikijiunga na tanganyika itaipiku zanzibar. Sijui kwa nini kina nyerere hawakuona umuhimu wa kuviunganisha visiwa hivyo na tanganyika. Muda upo kama vipi mazungumzo yafanyike comoro iwe sehemu ya tanzania, wale ni waswahili wenzetu tuwajumuishe kama zanzibar
 
Mbona inasemekana wanaoongea Kiswahili ni kama asilimia moja ya Wacomoro?
 
Comoro wanafaidi mema ya France waje kujichanganya Tena Kwa Mwenezi?
 
Wa-Comoro wenye pesa ni wale wenye Uraia wa Ufaransa sio Hawa waswazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…