Nini inaifanya Zanzibar iizidi Comoro kwa umaarufu?

Nini inaifanya Zanzibar iizidi Comoro kwa umaarufu?

Zote ni visiwa katika bahari ya Hindi. Lakini ukivlinganisha, Zanzibar ni maarufu zaidi.

Kwa nini imekuwa hivyo?

Inaweza kuwa ni kwa vile Zanzibar inanufaika na rasilimali za Tanganyika? Comoro ikipata fursa ya kuvifaidi vya Tanganyika kama Zanzibar itaweza kuwa maarufu kama Zanzibar?
Utalii wa Ngono Umeipa Zanzibar umaarufu Duniani. Hata Maldives hii huduma hawana
 
Zanzibar geographically ni sehemu ya Tanganyika, huko Comoro ni mbali sana.
comoro ikijiunga na tanganyika itaipiku zanzibar. Sijui kwa nini kina nyerere hawakuona umuhimu wa kuviunganisha visiwa hivyo na tanganyika. Muda upo kama vipi mazungumzo yafanyike comoro iwe sehemu ya tanzania, wale ni waswahili wenzetu tuwajumuishe kama zanzibar
 
Back
Top Bottom