Nini itakuwa mwisho wa Andrew Tate?

Nini itakuwa mwisho wa Andrew Tate?

sanalii

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2018
Posts
1,639
Reaction score
5,767
Huyu bwana huwezi ni ngumu kuangalia video zaidi ya 10 kwenye Tiktok bila kukutana na video zake, wengine wanamuona kama mtu shujaa na msema ukweli na wengine wanamuona kama mtu katili kwa wanawake, will he b cancelled? will he got shot? will he endup in prison by allegation?

FaL9nFWXgAEXj15.jpg
 
Nimejiunga tiktok majuzi hapa.

Ngoja nidate kwanaa kisha ntarudi kujadili
 
Mwamba anaendesha bugatti limited edition ziko 60 tu duniani! Na rangi aliochagua ni customized kwa ajili yake yan dunia nzima hakuna gari lenye rangi kama yake, talk about ambitions.. anajiita Top G
 
Anahusika na nini huyo mwamba anayeendesha bugatti limited edition ambazo ziko 60 duniani na rangi aliyochagua ni customized kwa ajili yake yan dunia nzima hakuna gari lenye rangi kama yake?? Anahusika na NINI? muwe mnajua kujieleza
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Namimi nasubiri majibu kwakweli..
 
Anahusika na nini huyo mwamba anayeendesha bugatti limited edition ambazo ziko 60 duniani na rangi aliyochagua ni customized kwa ajili yake yan dunia nzima hakuna gari lenye rangi kama yake?? Anahusika na NINI? muwe mnajua kujieleza
[emoji1787] [emoji1787]
 
Back
Top Bottom