Nini itakuwa mwisho wa Andrew Tate?

Nini itakuwa mwisho wa Andrew Tate?

Anahusika na nini huyo mwamba anayeendesha bugatti limited edition ambazo ziko 60 duniani na rangi aliyochagua ni customized kwa ajili yake yan dunia nzima hakuna gari lenye rangi kama yake?? Anahusika na NINI? muwe mnajua kujieleza
Ni kitendo cha ku search tu unapata majibu yote sina ulazima wa kuelezea mtu yoyote jamaa anahusika na nn, kama uko interested mgoogle 😁 me niliona post yake 1 tu ya motivation insta nikagundua jamaa ni former ufc 5 times champion, ana podcast, online businesses zile packages watu wanauzaga kama course, pia skendo ya human trafficking kwamba anauza mabinti kwa ajili ya sex..haya yote nilisoma post 1 tu na kucheck comments nikagundua baadhi ya mishe zske, energy ya kuandika comments hizi ungekua ushamjua sana hata zaid yangu ukajazia nyama..

pengne hutak kumjua lengo ni kunielekeza namna ya kujielezea. Nimekuelewa master 👊
 
Haya maelezo ungeyatoa mapema kabla hujaelezea kuhusu bugatti limited edition ambazo ziko 60 duniani na rangi aliyochagua ni customized kwa ajili yake yan dunia nzima hakuna gari lenye rangi kama yake wengi wangekuelewa 😀😀😀! Anyways at least nimemjua kupitia maelezo yako hapo juu!! Peace off✌🏽
 
naona nilikurupuka master, Jua kali vichwa resi sometimes.. 😎
 
Huyu bwana huwezi ni ngumu kuangalia video zaidi ya 10 kwenye Tiktok bila kukutana na video zake, wengine wanamuona kama mtu shujaa na msema ukweli na wengine wanamuona kama mtu katili kwa wanawake, will he b cancelled? will he got shot? will he endup in prison by allegation?

View attachment 2324338
Mwisho wake huu hapa

Washampa kichwa cha human trafficking

Dunia durare
 
Ni kitendo cha ku search tu unapata majibu yote sina ulazima wa kuelezea mtu yoyote jamaa anahusika na nn, kama uko interested mgoogle [emoji16] me niliona post yake 1 tu ya motivation insta nikagundua jamaa ni former ufc 5 times champion, ana podcast, online businesses zile packages watu wanauzaga kama course, pia skendo ya human trafficking kwamba anauza mabinti kwa ajili ya sex..haya yote nilisoma post 1 tu na kucheck comments nikagundua baadhi ya mishe zske, energy ya kuandika comments hizi ungekua ushamjua sana hata zaid yangu ukajazia nyama..

pengne hutak kumjua lengo ni kunielekeza namna ya kujielezea. Nimekuelewa master [emoji109]
Sema nimeshindwa tafasiri un'gen'ge
Inaeleweka
 
Back
Top Bottom