Nini kazi ya shanga za kiunoni?

.....shanga ni tofauti kidogo unatakiwa uchezee hadi zikatike!!!!!!!!
Lol,kweli wewe Nguli katika hii fani! Enhe, hebu tusaidie tujue procedures katika hili zoezi la ukataji wa hizi shanga za mwanamke kiunoni, maana wengine tusije tukazivamia na kuzikata kwa kisu tukajua ndo raha yake! Tiriiiika dada Evelyn Salt!
 
 
 
Shanga ni pambo la kumvutia mme kama mapambo mengine ya mmke, ni km kidani na vikuku vya miguu na bangili, hivo zinaleta mvuto. Wanaume wengi wakiona au kushika kiuno cha mmke chenye shanga wanashtuka mara kwenye maeneo yao ya kiume.
 
Ukiogaoga kila mara nyuzi zinaoza na kuzeeka ndio maana zinakatika.Huyu kagundua hivyo ndio maana haogi,labda anatawaza tuu. Au labda hata kutawaza hatawazi maana atapooza mashine ipoteze ladha maridhawa kwa wateja.

duuh!!!!!
 
Mhhhhhh, sijui nazeeka sasa, hii MIDOMO mbona siku hizi tunaipa majukumu mazito hivi? Ngoja niendelee kutafakari, inawezekana umri wangu umeshindwa kucope na hii sayansi na teknolojia!
[emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…