Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Mmmh hiki kijiwe leo sicho kabisaaaaaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
anazo kila rangi...
![]()
Lol,kweli wewe Nguli katika hii fani! Enhe, hebu tusaidie tujue procedures katika hili zoezi la ukataji wa hizi shanga za mwanamke kiunoni, maana wengine tusije tukazivamia na kuzikata kwa kisu tukajua ndo raha yake! Tiriiiika dada Evelyn Salt!.....shanga ni tofauti kidogo unatakiwa uchezee hadi zikatike!!!!!!!!
.....shanga ni tofauti kidogo unatakiwa uchezee hadi zikatike!!!!!!!![/QUOTE
Lol,kweli wewe Nguli katika hii fani! Enhe, hebu tusaidie tujue procedures katika hili zoezi la ukataji wa hizi shanga za mwanamke kiunoni, maana wengine tusije tukazivamia na kuzikata kwa kisu tukajua ndo raha yake! Tiriiiika dada Evelyn Salt!
unazichezea na meno hadi zikatike....
ila hakikisha una mshipi ili zikikatika unastopisha kamchezo unazifunga tena.
Dah, very amazing! Sasa hii inakuwa ni baada mechi ama kabla ya mechi? Maana ukianza kufunga shanga kabla ya mechi, inaonesha hako ka-interval kanaweza kuikata stimu ya mechi! Lol.... kama ndo hivyo sijui kama shanga nitaziweza mie!unazichezea na meno hadi zikatike....
ila hakikisha una mshipi ili zikikatika unastopisha kamchezo unazifunga tena.
tufundwe sasa..Tunashukuru sana kwa ufahamu,Hata mimi nilikuwa sijui kwa kweli. Asante,Na nadhani wanafunzi anaweza kuja kujua zaidi kuliko mwalimu. I hope nikaweza kumnogesha nitakapo mpata wangu azivae shanga.
Kweli kabisa Elimu haina mwisho,na asemae anajua mapenzi anajidanganya maana kila kukicha vikolombwezo vinaongezeka.tufundwe sasa..
Dah, very amazing! Sasa hii inakuwa ni baada mechi ama kabla ya mechi? Maana ukianza kufunga shanga kabla ya mechi, inaonesha hako ka-interval kanaweza kuikata stimu ya mechi! Lol.... kama ndo hivyo sijui kama shanga nitaziweza mie!
jitahidi tu utaziweza.....
Asante kwa kunipa moyo, nitamwambia mama watoto awe ananivalia siku moja moja nianze kuzoea! Yawezekana nakosa uhondo! Ila akiniuliza kamchezo haka nani kanifundisha, ni ruksa nikutaje?jitahidi tu utaziweza.....
Asante kwa kunipa moyo, nitamwambia mama watoto awe ananivalia siku moja moja nianze kuzoea! Yawezekana nakosa uhondo! Ila akiniuliza kamchezo haka nani kanifundisha, ni ruksa nikutaje?
mwambie uliona kwenye movie.....
na ahikisha hana kiduku make ikishika vvvvvzzzz atapiga mayowe huyo!!!!!!!
Na zikikatika, shuri mwanamme aziokote
Ukiogaoga kila mara nyuzi zinaoza na kuzeeka ndio maana zinakatika.Huyu kagundua hivyo ndio maana haogi,labda anatawaza tuu. Au labda hata kutawaza hatawazi maana atapooza mashine ipoteze ladha maridhawa kwa wateja.
Duuuh kwa nini jamanii Doctor!!!???duuh!!!!!
anazo kila rangi...
![]()
anazo kila rangi...
![]()
[emoji23] [emoji23]Mhhhhhh, sijui nazeeka sasa, hii MIDOMO mbona siku hizi tunaipa majukumu mazito hivi? Ngoja niendelee kutafakari, inawezekana umri wangu umeshindwa kucope na hii sayansi na teknolojia!
Na ni vema wanaume wawe wanatembea na mishipi ili shanga zikikatika wafunge tena kabla ya kuendelea na kamchezo....