Nini kazi ya shanga za kiunoni?

Nini kazi ya shanga za kiunoni?

anazo kila rangi...
4.jpg

ukitaka kununua shanga za kiunoni kutoka kwa wakina mama wa kimasai wanaozitunga usiseme unataka shanga bali sema nataka "singizi ya bwana"!!!
 
.....shanga ni tofauti kidogo unatakiwa uchezee hadi zikatike!!!!!!!!
Lol,kweli wewe Nguli katika hii fani! Enhe, hebu tusaidie tujue procedures katika hili zoezi la ukataji wa hizi shanga za mwanamke kiunoni, maana wengine tusije tukazivamia na kuzikata kwa kisu tukajua ndo raha yake! Tiriiiika dada Evelyn Salt!
 
.....shanga ni tofauti kidogo unatakiwa uchezee hadi zikatike!!!!!!!![/QUOTE
Lol,kweli wewe Nguli katika hii fani! Enhe, hebu tusaidie tujue procedures katika hili zoezi la ukataji wa hizi shanga za mwanamke kiunoni, maana wengine tusije tukazivamia na kuzikata kwa kisu tukajua ndo raha yake! Tiriiiika dada Evelyn Salt!

unazichezea na meno hadi zikatike....
ila hakikisha una mshipi ili zikikatika unastopisha kamchezo unazifunga tena.
 
unazichezea na meno hadi zikatike....
ila hakikisha una mshipi ili zikikatika unastopisha kamchezo unazifunga tena.
Dah, very amazing! Sasa hii inakuwa ni baada mechi ama kabla ya mechi? Maana ukianza kufunga shanga kabla ya mechi, inaonesha hako ka-interval kanaweza kuikata stimu ya mechi! Lol.... kama ndo hivyo sijui kama shanga nitaziweza mie!
 
Shanga ni pambo la kumvutia mme kama mapambo mengine ya mmke, ni km kidani na vikuku vya miguu na bangili, hivo zinaleta mvuto. Wanaume wengi wakiona au kushika kiuno cha mmke chenye shanga wanashtuka mara kwenye maeneo yao ya kiume.
 
Ukiogaoga kila mara nyuzi zinaoza na kuzeeka ndio maana zinakatika.Huyu kagundua hivyo ndio maana haogi,labda anatawaza tuu. Au labda hata kutawaza hatawazi maana atapooza mashine ipoteze ladha maridhawa kwa wateja.

duuh!!!!!
 
Mhhhhhh, sijui nazeeka sasa, hii MIDOMO mbona siku hizi tunaipa majukumu mazito hivi? Ngoja niendelee kutafakari, inawezekana umri wangu umeshindwa kucope na hii sayansi na teknolojia!
[emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom