Nini kesho ya mbuga ya Selous?

Nini kesho ya mbuga ya Selous?

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
'The Rufiji Saga: Dunia inasubiri mafuriko ya kwanza kufagia wanyama wote mbugani? Nini kesho ya mbuga ya Selous?'

Haya ni mambo ambayo kama itabidi tuombe msaada wa kimataifa kwa kuwa selous ni hifadhi ya dunia yenye viumbe adimu, je wote wafagiwe na maji ? Halafu? Tusiogope kuomba msaada kwa sababu aliyetufikisha hapa hayupo
 
Acha kutisha na kudanganya watu kama una ugomvi binafsi na JPM sababu ndugu zako walikuwa mafisadi utulie akili zikusogee
 
Wali-underestimate kiwango cha mvua...

Mategemeo ilikuwa bwawa lijae kwa miaka kadhaa kutokana na uhaba wa mvua...

Kilichotokea, mvua za mwaka huu tu tayari zimeshajaza bwawa...

Na lilikokuwa linaelekea ni kuover-flow...

Kitendo cha ku overflow kingesababisha maji yatoke kwa kasi kubwa na kuleta maaafa makubwa kwa wananchi wa rufiji..

Ikawa hakuna namna zaidi ya kuyafungulia kidogo kidogo..

Ndo maana ukipita maeneo ya rufiji nyumba za raia zimemezwa na maji...

Waiter ongeza round ingine hapa tumalizie sunday...
 
Maji yanatoka juu kuelekea bondeni- ndo maana linaitwa Bonde la Rufiji.Vijiji vilivyo asilika vipo bondeni na hii sio mara ya kwanza wakazi wa rufiji kukumbwa na Mafuriko.Uwezekano wa kujenga Mfreji mkubwa wenye zenge pande zote upo na China wanayo hii mifereji ambayo umeokoa mamilioni ya watu kutoshambuliwa na maji ya mto Yagtze.
Akuna wanyama wanaoishi Mabondeni kule Mbugani so wapo OK. Serikali waje na mradi kama China kwenye hizi picha tatizo litaisha na wote wataishi kwa amani
 
Attachments

  • IMG_6685.jpeg
    IMG_6685.jpeg
    29.6 KB · Views: 3
  • IMG_6674.png
    IMG_6674.png
    89.3 KB · Views: 3
  • IMG_6675.png
    IMG_6675.png
    105 KB · Views: 3
  • IMG_6676.png
    IMG_6676.png
    65.4 KB · Views: 4
  • IMG_6677.jpeg
    IMG_6677.jpeg
    35.9 KB · Views: 4
  • IMG_6678.png
    IMG_6678.png
    106.9 KB · Views: 5
  • IMG_6679.jpeg
    IMG_6679.jpeg
    30.6 KB · Views: 4
  • IMG_6682.jpeg
    IMG_6682.jpeg
    20.6 KB · Views: 4
  • IMG_6681.jpeg
    IMG_6681.jpeg
    29.4 KB · Views: 3
  • IMG_6677.jpeg
    IMG_6677.jpeg
    35.9 KB · Views: 4
  • IMG_6684.jpeg
    IMG_6684.jpeg
    33.2 KB · Views: 3
Hakuna mzungu wa kukusaidia ardhi ikishakuwa saturated na mvua bwawa or no bwawa, river burst na flash-flooding ni swala la muda tu mvua zikizidi.
 
Haya ni mambo ambayo kama itabidi tuombe msaada wa kimataifa kwa kuwa selous ni hifadhi ya dunia yenye viumbe adimu, je wote wafagiwe na maji ? Halafu? Tusiogope kuomba msaada kwa sababu aliyetufikisha hapa hayupo
Akili za watanzania bwana!
 
Haya ni mambo ambayo kama itabidi tuombe msaada wa kimataifa kwa kuwa selous ni hifadhi ya dunia yenye viumbe adimu, je wote wafagiwe na maji ? Halafu? Tusiogope kuomba msaada kwa sababu aliyetufikisha hapa hayupo
Leo ndio nimeamini wewe ni mwehu kabisa hahahhahaha
 
Serikali inatarajia kufungua geti lingine kuanzia Leo Kwa kiasi cha lita 700,000 Kwa dakika moja na pia kumbuka hili bwawa Lina mageti 9 ambayo nayo yaneshajaa maji Hadi...
Ndugu zetu wa rufiji wapo kwenye wakati ngumu Sana na mafuriko, kama wiki inayoanza kesho itakuwa na mvua mkubwa basi maafa yatakuwa makubwa mno na ikitokea siku hayo mageti 9 yakipausuka itakuwa mwisho wa wilaya ya rufiji
 
'The Rufiji Saga: Dunia inasubiri mafuriko ya kwanza kufagia wanyama wote mbugani? Nini kesho ya mbuga ya Selous?'

Haya ni mambo ambayo kama itabidi tuombe msaada wa kimataifa kwa kuwa selous ni hifadhi ya dunia yenye viumbe adimu, je wote wafagiwe na maji ? Halafu? Tusiogope kuomba msaada kwa sababu aliyetufikisha hapa hayupo
Mtambo wa pili tunauwasha soon. Mtapata tabu sana
 
'The Rufiji Saga: Dunia inasubiri mafuriko ya kwanza kufagia wanyama wote mbugani? Nini kesho ya mbuga ya Selous?'

Haya ni mambo ambayo kama itabidi tuombe msaada wa kimataifa kwa kuwa selous ni hifadhi ya dunia yenye viumbe adimu, je wote wafagiwe na maji ? Halafu? Tusiogope kuomba msaada kwa sababu aliyetufikisha hapa hayupo
kipara kakosa nywele na akili ety na kenyewe kanajifananisha na Jpm nyambaaf kalikasirikaga baada ya kunyimwa uwaziri mkuu
 
Maji yanatoka juu kuelekea bondeni- ndo maana linaitwa Bonde la Rufiji.Vijiji vilivyo asilika vipo bondeni na hii sio mara ya kwanza wakazi wa rufiji kukumbwa na Mafuriko.Uwezekano wa kujenga Mfreji mkubwa wenye zenge pande zote upo na China wanayo hii mifereji ambayo umeokoa mamilioni ya watu kutoshambuliwa na maji ya mto Yagtze.
Akuna wanyama wanaoishi Mabondeni kule Mbugani so wapo OK. Serikali waje na mradi kama China kwenye hizi picha tatizo litaisha na wote wataishi kwa amani
Nilitaka kulisema hili
Ila naona tuwaombe wachina kupitia balozi au kwa Rais tuwape tenda waje wajenge ukuta
Wao wako vizuri kwenye kila sekta
Sio aibu kupata wajenzi kutoka nje na Dunia nzima inafanya hivyo
Ili kuepuka madhara na pia kuwa na sehemu salama ya wakazi bora waje tu
 
Watu walipwe fidia wahamishwe. Bwawa ni muhimu kwa taifa.
Upo sahihi-wahamishwe kama zile enzi za vijiji vya ujamaa. Ili Wawe salama na Bwawa letu pendwa liendelee kuwepo. Umeme wa Hydro ndo bora zaidi kwa garama nafuu na pia auzalishi Carbon au Neucler waste! Mungu ibariki Tanzania🙏
 
Attachments

  • Rufiji Mafuriko.mp4
    44 MB
Acha kutisha na kudanganya watu kama una ugomvi binafsi na JPM sababu ndugu zako walikuwa mafisadi utulie akili zikusogee
Ni mafisadi wapi aliowashughulikia jpm? Au alipigapiga kelele badala yake yeye mwenyewe na watu wake ndiyo wakageuka kuwa wezi na mafisadi. Tusishabikie ujinga alikurupuka sana kwenye kufanya maamuzi. Kwa teknologia ya leo tuna vyanzo vingi vya umeme ikiwemo gas ambayo tayari watangulizi wake tena wa chama hichohicho walikuwa wamewekexa. Kulikuwa na haja gani ya kutumia pesa nyingi ambayo matokeo yake yanaanza tena kuligharimu taifa?
 
Akafukuliwe mshamba aliyelazimisha hili bwawa kujengwa, tumchome moto.
 
Back
Top Bottom