Nini kesho ya mbuga ya Selous?

Nini kesho ya mbuga ya Selous?

Kurithi madaraka ni hatari sana Kwa nchi.katiba ibadilishe kuhusu kurithi madaraka ya urais.maana wanaweza kurithi ambapo hawana uwezo wa kuongoza nchi ikapata hasara kama ilivyo sasa. kitu kidogo tu Cha kusimamia namna ya kuyaelekeza maji ili yasilete madhara wameshindwa.mbulula wengi wameshika madaraka na matokeo yake ndiyo haya ya hovyo tunayoyaona.daaah!Nchi yangu inaliwa sana na Wala rushwa
 
'The Rufiji Saga: Dunia inasubiri mafuriko ya kwanza kufagia wanyama wote mbugani? Nini kesho ya mbuga ya Selous?'

Haya ni mambo ambayo kama itabidi tuombe msaada wa kimataifa kwa kuwa selous ni hifadhi ya dunia yenye viumbe adimu, je wote wafagiwe na maji ? Halafu? Tusiogope kuomba msaada kwa sababu aliyetufikisha hapa hayupo
Uzuzu nao un shida.
Sasa hao wanyama watazama baada ya woye kuogelea mto Rufiji?
 
Wali-underestimate kiwango cha mvua...

Mategemeo ilikuwa bwawa lijae kwa miaka kadhaa kutokana na uhaba wa mvua...

Kilichotokea, mvua za mwaka huu tu tayari zimeshajaza bwawa...

Na lilikokuwa linaelekea ni kuover-flow...

Kitendo cha ku overflow kingesababisha maji yatoke kwa kasi kubwa na kuleta maaafa makubwa kwa wananchi wa rufiji..

Ikawa hakuna namna zaidi ya kuyafungulia kidogo kidogo..

Ndo maana ukipita maeneo ya rufiji nyumba za raia zimemezwa na maji...

Waiter ongeza round ingine hapa tumalizie sunday...

Mdogo mdogo tutaelewana.

JNHPP Oyeeee!!
 
Kwa akili Yako unaamini kuwa wanyama wa pori hawajui kuwa BWAWA linatapishwa maji?

Mamba na viboko pekee ndio watakaokaidi kuhama!!
 
Serikali inatarajia kufungua geti lingine kuanzia Leo Kwa kiasi cha lita 700,000 Kwa dakika moja na pia kumbuka hili bwawa Lina mageti 9 ambayo nayo yaneshajaa maji Hadi...
Ndugu zetu wa rufiji wapo kwenye wakati ngumu Sana na mafuriko, kama wiki inayoanza kesho itakuwa na mvua mkubwa basi maafa yatakuwa makubwa mno na ikitokea siku hayo mageti 9 yakipausuka itakuwa mwisho wa wilaya ya rufiji
😂😂😂😂 CCM mbele kwa mbele
 
Hakuna mtu aliewafikisha hapo zaidi ya akili zenu za kuvukia barabara.
 
'The Rufiji Saga: Dunia inasubiri mafuriko ya kwanza kufagia wanyama wote mbugani? Nini kesho ya mbuga ya Selous?'

Haya ni mambo ambayo kama itabidi tuombe msaada wa kimataifa kwa kuwa selous ni hifadhi ya dunia yenye viumbe adimu, je wote wafagiwe na maji ? Halafu? Tusiogope kuomba msaada kwa sababu aliyetufikisha hapa hayupo
Kuna Profesa Raphael Mwalyosi aliyaona haya akaambiwa anatumika na mabeberu!
 
'The Rufiji Saga: Dunia inasubiri mafuriko ya kwanza kufagia wanyama wote mbugani? Nini kesho ya mbuga ya Selous?'

Haya ni mambo ambayo kama itabidi tuombe msaada wa kimataifa kwa kuwa selous ni hifadhi ya dunia yenye viumbe adimu, je wote wafagiwe na maji ? Halafu? Tusiogope kuomba msaada kwa sababu aliyetufikisha hapa hayupo
Mungu ni mwema mambo yote yanaenda sawa
 
'The Rufiji Saga: Dunia inasubiri mafuriko ya kwanza kufagia wanyama wote mbugani? Nini kesho ya mbuga ya Selous?'

Haya ni mambo ambayo kama itabidi tuombe msaada wa kimataifa kwa kuwa selous ni hifadhi ya dunia yenye viumbe adimu, je wote wafagiwe na maji ? Halafu? Tusiogope kuomba msaada kwa sababu aliyetufikisha hapa hayupo
Hivi majinga majinga siku hizi kama hili jamaaa yanatoka wapi .......we jamaa ni sehemu za siri sana wewe tena wewe sehemu za siri za mwanamke
 
'The Rufiji Saga: Dunia inasubiri mafuriko ya kwanza kufagia wanyama wote mbugani? Nini kesho ya mbuga ya Selous?'

Haya ni mambo ambayo kama itabidi tuombe msaada wa kimataifa kwa kuwa selous ni hifadhi ya dunia yenye viumbe adimu, je wote wafagiwe na maji ? Halafu? Tusiogope kuomba msaada kwa sababu aliyetufikisha hapa hayupo

watanzania kama tuna laana vile. kama unataka hela za bure, nenda kaombe huo msaada. Tunahitaji people capable of providing solutions. Sio kulalamika kama watoto wachanga kila siku
 
Hata katika research lazima uanze na statement of the problem, nini lalamiko katika jamii
 
Acha kutisha na kudanganya watu kama una ugomvi binafsi na JPM sababu ndugu zako walikuwa mafisadi utulie akili zikusogee
Jibu hoja acha kuleta stori za wafu,Hazina Msaada Kwa Sasa licha ya hO wafu kutufikisha hapa kwenye balaa.
 
Back
Top Bottom