Kurithi madaraka ni hatari sana Kwa nchi.katiba ibadilishe kuhusu kurithi madaraka ya urais.maana wanaweza kurithi ambapo hawana uwezo wa kuongoza nchi ikapata hasara kama ilivyo sasa. kitu kidogo tu Cha kusimamia namna ya kuyaelekeza maji ili yasilete madhara wameshindwa.mbulula wengi wameshika madaraka na matokeo yake ndiyo haya ya hovyo tunayoyaona.daaah!Nchi yangu inaliwa sana na Wala rushwa