Acha kutisha na kudanganya watu kama una ugomvi binafsi na JPM sababu ndugu zako walikuwa mafisadi utulie akili zikusogeeHaya ni mambo ambayo kama itabidi tuombe msaada wa kimataifa kwa kuwa selous ni hifadhi ya dunia yenye viumbe adimu, je wote wafagiwe na maji ? Halafu? Tusiogope kuomba msaada kwa sababu aliyetufikisha hapa hayupo
Bichwa kubwa akili nukta.Haya ni mambo ambayo kama itabidi tuombe msaada wa kimataifa kwa kuwa selous ni hifadhi ya dunia yenye viumbe adimu, je wote wafagiwe na maji ? Halafu? Tusiogope kuomba msaada kwa sababu aliyetufikisha hapa hayupo
Akili za watanzania bwana!Haya ni mambo ambayo kama itabidi tuombe msaada wa kimataifa kwa kuwa selous ni hifadhi ya dunia yenye viumbe adimu, je wote wafagiwe na maji ? Halafu? Tusiogope kuomba msaada kwa sababu aliyetufikisha hapa hayupo
Leo ndio nimeamini wewe ni mwehu kabisa hahahhahahaHaya ni mambo ambayo kama itabidi tuombe msaada wa kimataifa kwa kuwa selous ni hifadhi ya dunia yenye viumbe adimu, je wote wafagiwe na maji ? Halafu? Tusiogope kuomba msaada kwa sababu aliyetufikisha hapa hayupo
Mtambo wa pili tunauwasha soon. Mtapata tabu sana'The Rufiji Saga: Dunia inasubiri mafuriko ya kwanza kufagia wanyama wote mbugani? Nini kesho ya mbuga ya Selous?'
Haya ni mambo ambayo kama itabidi tuombe msaada wa kimataifa kwa kuwa selous ni hifadhi ya dunia yenye viumbe adimu, je wote wafagiwe na maji ? Halafu? Tusiogope kuomba msaada kwa sababu aliyetufikisha hapa hayupo
kipara kakosa nywele na akili ety na kenyewe kanajifananisha na Jpm nyambaaf kalikasirikaga baada ya kunyimwa uwaziri mkuu'The Rufiji Saga: Dunia inasubiri mafuriko ya kwanza kufagia wanyama wote mbugani? Nini kesho ya mbuga ya Selous?'
Haya ni mambo ambayo kama itabidi tuombe msaada wa kimataifa kwa kuwa selous ni hifadhi ya dunia yenye viumbe adimu, je wote wafagiwe na maji ? Halafu? Tusiogope kuomba msaada kwa sababu aliyetufikisha hapa hayupo
Nilitaka kulisema hiliMaji yanatoka juu kuelekea bondeni- ndo maana linaitwa Bonde la Rufiji.Vijiji vilivyo asilika vipo bondeni na hii sio mara ya kwanza wakazi wa rufiji kukumbwa na Mafuriko.Uwezekano wa kujenga Mfreji mkubwa wenye zenge pande zote upo na China wanayo hii mifereji ambayo umeokoa mamilioni ya watu kutoshambuliwa na maji ya mto Yagtze.
Akuna wanyama wanaoishi Mabondeni kule Mbugani so wapo OK. Serikali waje na mradi kama China kwenye hizi picha tatizo litaisha na wote wataishi kwa amani
Upo sahihi-wahamishwe kama zile enzi za vijiji vya ujamaa. Ili Wawe salama na Bwawa letu pendwa liendelee kuwepo. Umeme wa Hydro ndo bora zaidi kwa garama nafuu na pia auzalishi Carbon au Neucler waste! Mungu ibariki Tanzania🙏Watu walipwe fidia wahamishwe. Bwawa ni muhimu kwa taifa.
Ni mafisadi wapi aliowashughulikia jpm? Au alipigapiga kelele badala yake yeye mwenyewe na watu wake ndiyo wakageuka kuwa wezi na mafisadi. Tusishabikie ujinga alikurupuka sana kwenye kufanya maamuzi. Kwa teknologia ya leo tuna vyanzo vingi vya umeme ikiwemo gas ambayo tayari watangulizi wake tena wa chama hichohicho walikuwa wamewekexa. Kulikuwa na haja gani ya kutumia pesa nyingi ambayo matokeo yake yanaanza tena kuligharimu taifa?Acha kutisha na kudanganya watu kama una ugomvi binafsi na JPM sababu ndugu zako walikuwa mafisadi utulie akili zikusogee
Mkuu wa mkoa anahitaji cheti gani?Shabikieni ujinga lakini madhara ni makubwa ya kufanya mambo kwa pupa. Ulisherekea waliofukuzwa kwa sakata la vyeti wakati huohuo unashabikia Bashite!!!