Hakuna anayejali
JF-Expert Member
- Jun 3, 2023
- 418
- 526
Habari, katika kutembea kwangu hapa na pale nimegundua tabia za madereva bajaji na bodaboda wengi hawatii sheria za barabarani, gari linasimama zebra lakini hao jamaa wanapita kushoto au kulia au hata wanapishana na mtembea kwa miguu katikati ya zebra.
Na wakati mwingine wanaona toka mbali mita mia mtembea kwa miguu ameonesha nia ya kuvuka wao wanapiga honi ya kumtisha asivuke. Je na wewe unaliona hili, nini kifanyike?
=====
Update
Polisi watengeneza tangazo la maigizo kuelimisha juu ya suala hili.