Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msisahau Hawa ni wapiga kuraHii ni kero kubwa sana, specificaly hapa Arusha,eneo la Summit centre, kuna zebra inayoruhusu watu kuvuka kutokea summit kwenda kanisa la calvary, hapo watu wa hiace wamegeuza ndiyo parking yao, na madereva wa hiace arusha wengi wao ni walevi sugu,cha kushangaza unakuta hiace imesimama hapo kuziba zebra,halafu dereva yupo hapo hapo anapiga story na askari traffic, yaani huwezi kutofautisha ujinga wa dereva na traffic.
Kwani urefu wa kamba ya matrafiki ni mita ngapi?Wakamatwe polisi wanaowafumbia macho! Trafiki hukaa barabarani si kwa usalama wa raia na vyombo vyao, bali kwa ajiri ya matumbo yao! Kwa vile wanajua boda hawana pesa ya kuwapa, basi hujifanya hawawaoni, macho yote yako kwa dala na madereva wa magari binafsi wakadai hongo! Hao ndo chanzo cha matatizo! Wakamatwe wao wajibu kwa nini wanajifanya hawawaoni!
mkuu watu hawajashindwa,wanakwepa lawama za kipuuzi bila ulazima.Inasikitisha Jeshi zima la polisi linashindwa kusimamia Bajaj na bodaboda waiting sheria. Wako busy kung'oa 3D numbers!
Sheria ziko wazi tatizo wasimamizi wapo likizoHabari, katika kutembea kwangu hapa na pale nimegundua tabia za madereva bajaji na bodaboda wengi hawatii sheria za barabarani, gari linasimama zebra lakini hao jamaa wanapita kushoto au kulia au hata wanapishana na mtembea kwa miguu katikati ya zebra.
Na wakati mwingine wanaona toka mbali mita mia mtembea kwa miguu ameonesha nia ya kuvuka wao wanapiga honi ya kumtisha asivuke. Je na wewe unaliona hili, nini kifanyike?
Unadhani kwa njia hii tutatkuwa tumetatuwa tatizo?Polisi waambiwe na kupewa ruhusa kuwa hizo ni pesa za kiwi ....yaani waruhusiwe wakimkamata boda kafanya hivyo nusu ya pesa wanachukua na iliyo baki wanawekewa kwenye mfuko wa kukopesha polisi wote nchi nzima
Fine on the spot yaani kila kosa msimbazi wa hapo hapo unabaki watarejesha heshima ya kufuata SHERIA za Nchi.
mkuu watu hawajashindwa,wanakwepa lawama za kipuuzi bila ulazima.
kama unakumbuka zamani kulikuwa na watu kwenye junction wanakamata piki piki,hayo makelele yake utadhani walikuwa ni vibaka wanaua watu.
acha kila mtu ashikilie pumbu zake.
Iwekwe kamera jioni trafiki wanareview,au kulia zebra inayovukwa na wengi awepo trafiki na urafiki au uneg usiwepo hapo ni sheria tuInasikitisha sana jamaa hawana utu
Kwahiyo hawa nao kumbe wanachangia huu ujinga,.Mada nzuri sana hii, binafsi hii tabia inaumiza sana na watu wengi wamekufa, kupata vilema na majeraha, RPC wapo, RTO wapo, Traffic police wapo, IGP yupo, inaumiza sana
Halafu sijuwi kwanini tabia zao zinafanana?Bajaj na boda boda ni janga kubwa sana magari mengi yamepoteza muonekano Kwa kupigwa pasi na Hawa jamaa unakuta gari mpya ina michirizi na mikwaruzo kibao.
Mpiga kura ruksa kuvunja sheria?Msisahau Hawa ni wapiga kura
Au uvutaji bangi,pombe na mafuta yanawaathiri nini?Inasikitisha sana maana wala Hakuna anayejali
Boda boda wengi na waendesha bajaji hawajaesha driving school mtu amejua tu kuendesha mtaani kabeba pikipiki kaingia road na ni wengi na ni kama vile aina ya watu waliojisusa Yani wanaishi bila future Yani ni mtu ambaye yupo tayari kwa lolote & unakuta anaendesha pikipiki amebinuka kakunja kiuno anaendesha ndala ipo chini ya sehemu ya gia
Hawahofii magari wala sheria lakini wanaoingia hasara ni watu wenye familia zao maana wanabeba watu wenye kutegemewa na familia zao
Haipaswi kupuuzwa inachangia pakubwaAu uvutaji bangi,pombe na mafuta yanawaathiri nini?
Kuna la kujifunza hapa.Wafute huduma za bodaboda na bajaj mijini, miji ya nchi za kusini mwa Afrika South Africa, Namibia n.k na hapa Bujumbura Burundi hakuna usafiri wa umma wa bodaboda na bajaj na watu wanafika wanapokwenda.
Bodaboda na bajaj ziwe za usafiri wa vijijini na nje kabisa ya miji huko ndanindani. Pia huko vijijini zisiruhusiwe kutumia barabara kuu .
Nawasilisha hoja.