Hakuna anayejali
JF-Expert Member
- Jun 3, 2023
- 418
- 526
🙆🙆 Sasa tufe tuu?
Polisi waambiwe na kupewa ruhusa kuwa hizo ni pesa za kiwi ....yaani waruhusiwe wakimkamata boda kafanya hivyo nusu ya pesa wanachukua na iliyo baki wanawekewa kwenye mfuko wa kukopesha polisi wote nchi nzimaHabari, katika kutembea kwangu hapa na pale nimegundua tabia za madereva bajaji na bodaboda wengi hawatii sheria za barabarani, gari linasimama zebra lakini hao jamaa wanapita kushoto au kulia au hata wanapishana na mtembea kwa miguu katikati ya zebra.
Na wakati mwingine wanaona toka mbali mita mia mtembea kwa miguu ameonesha nia ya kuvuka wao wanapiga honi ya kumtisha asivuke. Je na wewe unaliona hili. nini kifanyike?
Hii ni kero kubwa sana, specificaly hapa Arusha, eneo la Summit centre, kuna zebra inayoruhusu watu kuvuka kutokea summit kwenda kanisa la calvary, hapo watu wa hiace wamegeuza ndiyo parking yao, na madereva wa hiace Arusha wengi wao ni walevi sugu, cha kushangaza unakuta hiace imesimama hapo kuziba zebra, halafu dereva yupo hapo hapo anapiga story na askari traffic, yaani huwezi kutofautisha ujinga wa dereva na traffic.MOJA YA KERO SUGU HII.
NA NDIO MAANA WAPATAPO AJALI, NYOYO ZA WENGI ZINASUUZIKA
Mada nzuri sana hii, binafsi hii tabia inaumiza sana na watu wengi wamekufa, kupata vilema na majeraha, RPC wapo, RTO wapo, Traffic police wapo, IGP yupo, inaumiza sanaHabari, katika kutembea kwangu hapa na pale nimegundua tabia za madereva bajaji na bodaboda wengi hawatii sheria za barabarani, gari linasimama zebra lakini hao jamaa wanapita kushoto au kulia au hata wanapishana na mtembea kwa miguu katikati ya zebra.
Na wakati mwingine wanaona toka mbali mita mia mtembea kwa miguu ameonesha nia ya kuvuka wao wanapiga honi ya kumtisha asivuke. Je na wewe unaliona hili. nini kifanyike?
Fine on the spot yaani kila kosa msimbazi wa hapo hapo unabaki watarejesha heshima ya kufuata SHERIA za Nchi.Polisi waambiwe na kupewa ruhusa kuwa hizo ni pesa za kiwi ....yaani waruhusiwe wakimkamata boda kafanya hivyo nusu ya pesa wanachukua na iliyo baki wanawekewa kwenye mfuko wa kukopesha polisi wote nchi nzima
Na ndo wengi mnaowatumiaMOJA YA KERO SUGU HII.
NA NDIO MAANA WAPATAPO AJALI, NYOYO ZA WENGI ZINASUUZIKA
Ushamba unawasumbuaHabari, katika kutembea kwangu hapa na pale nimegundua tabia za madereva bajaji na bodaboda wengi hawatii sheria za barabarani, gari linasimama zebra lakini hao jamaa wanapita kushoto au kulia au hata wanapishana na mtembea kwa miguu katikati ya zebra.
Na wakati mwingine wanaona toka mbali mita mia mtembea kwa miguu ameonesha nia ya kuvuka wao wanapiga honi ya kumtisha asivuke. Je na wewe unaliona hili. nini kifanyike?