Nini kifanyike ili kuepuka "kuchapiwa"?

Nini kifanyike ili kuepuka "kuchapiwa"?

Sema wewe ndio hujawahi kuona Mwanamke mwenye upendo wa kweli.
Kwa kukusaidia tuu, Mimi nimeshashudia wamama wakiua Watoto wao wakuwazaa, wakitupa majalalani Watoto wao,
Wakiwaloga Watoto wao.
Hao nao wanaupendo WA kweli Kwa Watoto wao?

Kutokuona kitu haimaanishi kitu hicho hakipo
Ushawahi kujiuliza ni kitu gani hasa kinamdistort mama mpaka atupe mtoto au kuua? Field ya science ilishaweka pembeni sana kuchunguza hivi vitu maana vilikuwa biased kwenye kuperform research. Ila binadamu in everything that they perform there is a reaction which are usually feelings na jinsi anavyojinsi kuyaliwaza matendo yake, more feelings develop. Mwishowe there is one feeling that outweigh the other, na mara nyingi ni guilty. Wamama wafanyayo hayo hubeba mimna huku wakiwa na guilty consciousness, hiyo husuppress the other feelings ikiwemo hata kuharibu ukuwaji wa mimba au ukuaji wa mtoto. That feeling is very powerful kama upendo ila psychologically inaoutweigh upendo maana yenyewe kadri inavyoifikiria ndiyo inamultiply kusupress upendo. Hapo ndio huyaona hayo, na nenda kaongee nao hao wamama ujue hayo matendo yalisababishwa na nini. Sikukosa upendo bali guilty ilioutweigh upendo. Wewe ndio unaamini umeona kila kitu ila kamwe huo upendo kwamtu asiyekuzaa haupo kamwe, I know that sio I believe that. Because kusema tu belief ujue unadoubt
 
Utetezi huohuo wanaopia Wanawake wanaowafanyia ubaya waume zao.

Jaribu kuelewa kuwa huwezi kusema hakuna Wanawake wenye Upendo WA kweli, hayo ni matumizi mabovu ya kufikiri
 
Najaribu kuelezea kwamba upendo huu wa nje ya nasaba pia upo sema ni ulimwengu na walimwengu wake ndo wameubadili kawaida hio
Wewe unaamini upo hivyo still unajidoubt kwenye hicho unachokitaja. Mimi ninajua haupo and I have no doubt. Walimwengu ni mimi na wewe pia hivyo kama sisi ndio tuliuharibu basi ujue haupo. Hakuna mwanamke anayekupenda kwadhati isipokuwa mama aliyekuzaa tu, wengine ni fantasies ambazo husepa baada ya muda fulani na sio upendo wa dhati.
 
Utetezi huohuo wanaopia Wanawake wanaowafanyia ubaya waume zao.

Jaribu kuelewa kuwa huwezi kusema hakuna Wanawake wenye Upendo WA kweli, hayo ni matumizi mabovu ya kufikiri
Wanahaki hiyo haujawazuia, siendi na hisia kusema huyo afanyavyo ni sawa na huyu si sawa. Ukitaka kutumia imani, upendo wa dhati ambao Yesu aliutaja uliishia kwa mitume tu na mpaka leo hakuna mtu auwezaye kwasababu hakuna mtu anajua upendo huo unaanzia wapi na ulikuaje. Na kwa upande wa scientific facts, those are just fantasy feelings ili kuufanya ubongo utengeneze amani na kuitunza ila amani ikishastabilize kichwani hizo hisia hupotea so it's not true love. Hakuna mwanamke anayekupenda kwa dhati isipokuwa mama aliyekuzaa tu
 
Wewe unaamini upo hivyo still unajidoubt kwenye hicho unachokitaja. Mimi ninajua haupo and I have no doubt. Walimwengu ni mimi na wewe pia hivyo kama sisi ndio tuliuharibu basi ujue haupo. Hakuna mwanamke anayekupenda kwadhati isipokuwa mama aliyekuzaa tu, wengine ni fantasies ambazo husepa baada ya muda fulani na sio upendo wa dhati.
Mimi sitaki ligi kila mtu abaki na analoamini
 
Wanahaki hiyo haujawazuia, siendi na hisia kusema huyo afanyavyo ni sawa na huyu si sawa. Ukitaka kutumia imani, upendo wa dhati ambao Yesu aliutaja uliishia kwa mitume tu na mpaka leo hakuna mtu auwezaye kwasababu hakuna mtu anajua upendo huo unaanzia wapi na ulikuaje. Na kwa upande wa scientific facts, those are just fantasy feelings ili kuufanya ubongo utengeneze amani na kuitunza ila amani ikishastabilize kichwani hizo hisia hupotea so it's not true love. Hakuna mwanamke anayekupenda kwa dhati isipokuwa mama aliyekuzaa tu

Unaposema isipokuwa Mama tuu unakosea Kwa sababu hata humu ndani wapo members wengi walishakiri kabisa Mama zao hawawapendi.
Wewe kama hupendwi na Mkeo na unapendwa na Mama yako ni Wewe.

Kuna Watu wanapendwa na Wake zao kuliko Mamazao,
Pia kuna Watu hawapendwi na wake zao(upo kundi hili) na pia hawapendwi na Mama zao.
Pia kuna wanaopendwa na Mama zao na wake zao(nipo kundi hili).

Sasa usi-generalize mambo hasa yanayohusu Perception zako. Sema asilimia kubwa au Wengi wao lakini usiseme Hakuna kabisa
 
😂😂😂 ndio maana nikakwambia sitaongea kitu basing on feelings, nitaongea basing on facts. Nimekuambia facts zote nakukuelezea, hivyo kama ni perceptions kama unavyowaza ni wewe. Ila the factual statement ni kwamba feelings hazitengenezwi over thin air zinabases. Nanimekuelezea, hivyo it will never change the truth, hakuna mwanamke asiyekuzaa anayekupenda kwadhati hakuna. Pia nikakuelezea kwanini feelings za upendo kwamama na mtoto huanza kusuasua mpaka kufikia hatua ya kuchukua hatua ya kumchukia na kuua mtoto. Everything has an explanation, I mean everything! Nashika hili, ubongo ukishapata amani utatengeneza state of mechanism au one factor ili kuitunza amani ikiwepo kuamini kuwa mke wangu ananipenda kwadhati, hii husaidia kuitunza hiyo amani. But no woman will ever love you truly if your not from her womb. Never
 
Kama hutaki kuchapiwa mchape wewe umuache anauguza maumivu. Ukirudi mchape tena. Yaani kisipoe.
Kuna jamaa alikuwa akiona mke kapendeza anataka kutoka,alikuwa anamrudisha ndani na anaenda kumto m b a kirough rough anahakikisha mpaka amemchubua ndo ana mruhusu aondoke kuna baadhi ya siku mwanamke alikuwa anahahirisha kabisa
 
*Wenye pesa wanachapiwa.
*Maskini wanachapiwa.
*Wenye nguvu za kiume wanachapiwa.

Sasa ili kuepuka kuchapiwa nini kifanyike? Ili kuepuka kuchapiwa wanaume oeni mabikra.

Lakini ukijikita kutafuta hela ukapuuzia kutafuta bikra itakula kwako na utaabika mitandaoni kama akina fulani wenye hela lkn washachapiwa.

Wanaume tafuteni bikra
Duuh nimetoka kumchapia mtu sasa ivi
 
Wanahaki hiyo haujawazuia, siendi na hisia kusema huyo afanyavyo ni sawa na huyu si sawa. Ukitaka kutumia imani, upendo wa dhati ambao Yesu aliutaja uliishia kwa mitume tu na mpaka leo hakuna mtu auwezaye kwasababu hakuna mtu anajua upendo huo unaanzia wapi na ulikuaje. Na kwa upande wa scientific facts, those are just fantasy feelings ili kuufanya ubongo utengeneze amani na kuitunza ila amani ikishastabilize kichwani hizo hisia hupotea so it's not true love. Hakuna mwanamke anayekupenda kwa dhati isipokuwa mama aliyekuzaa tu
1. Upendo wa mama ni for your survival
2. Upendo wa mkeo ni for her survival
Kazi kwako, chagua kifurushi unachotaka hapo juu
 
Kuchapiwa gani tena si msimamo ni mmoja tu KATAA NDOA
 
Back
Top Bottom