DIVISHENI FOO
JF-Expert Member
- Jan 31, 2023
- 1,440
- 3,142
HILI NALO TUNALICHUKUA TUKALITIZAME
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushawahi kujiuliza ni kitu gani hasa kinamdistort mama mpaka atupe mtoto au kuua? Field ya science ilishaweka pembeni sana kuchunguza hivi vitu maana vilikuwa biased kwenye kuperform research. Ila binadamu in everything that they perform there is a reaction which are usually feelings na jinsi anavyojinsi kuyaliwaza matendo yake, more feelings develop. Mwishowe there is one feeling that outweigh the other, na mara nyingi ni guilty. Wamama wafanyayo hayo hubeba mimna huku wakiwa na guilty consciousness, hiyo husuppress the other feelings ikiwemo hata kuharibu ukuwaji wa mimba au ukuaji wa mtoto. That feeling is very powerful kama upendo ila psychologically inaoutweigh upendo maana yenyewe kadri inavyoifikiria ndiyo inamultiply kusupress upendo. Hapo ndio huyaona hayo, na nenda kaongee nao hao wamama ujue hayo matendo yalisababishwa na nini. Sikukosa upendo bali guilty ilioutweigh upendo. Wewe ndio unaamini umeona kila kitu ila kamwe huo upendo kwamtu asiyekuzaa haupo kamwe, I know that sio I believe that. Because kusema tu belief ujue unadoubtSema wewe ndio hujawahi kuona Mwanamke mwenye upendo wa kweli.
Kwa kukusaidia tuu, Mimi nimeshashudia wamama wakiua Watoto wao wakuwazaa, wakitupa majalalani Watoto wao,
Wakiwaloga Watoto wao.
Hao nao wanaupendo WA kweli Kwa Watoto wao?
Kutokuona kitu haimaanishi kitu hicho hakipo
Ushawahi kujiuliza ni kitu gani hasa kinamdistort mama mpaka atupe mtoto au kuua? Field ya science ilishaweka pembeni sana kuchunguza hivi vitu maana vilikuwa biased kwenye kuperform research. Ila binadamu in everything that they perform there is a reaction which are usually feelings na jinsi anavyojinsi kuyaliwaza matendo yake, more feelings develop. Mwishowe there is one feeling that outweigh the other, na mara nyingi ni guilty. Wamama wafanyayo hayo hubeba mimna huku wakiwa na guilty consciousness, hiyo husuppress the other feelings ikiwemo hata kuharibu ukuwaji wa mimba au ukuaji wa mtoto. That feeling is very powerful kama upendo ila psychologically inaoutweigh upendo maana yenyewe kadri inavyoifikiria ndiyo inamultiply kusupress upendo. Hapo ndio huyaona hayo, na nenda kaongee nao hao wamama ujue hayo matendo yalisababishwa na nini. Sikukosa upendo bali guilty ilioutweigh upendo. Wewe ndio unaamini umeona kila kitu ila kamwe huo upendo kwamtu asiyekuzaa haupo kamwe, I know that sio I believe that. Because kusema tu belief ujue unadoubt
Wewe unaamini upo hivyo still unajidoubt kwenye hicho unachokitaja. Mimi ninajua haupo and I have no doubt. Walimwengu ni mimi na wewe pia hivyo kama sisi ndio tuliuharibu basi ujue haupo. Hakuna mwanamke anayekupenda kwadhati isipokuwa mama aliyekuzaa tu, wengine ni fantasies ambazo husepa baada ya muda fulani na sio upendo wa dhati.Najaribu kuelezea kwamba upendo huu wa nje ya nasaba pia upo sema ni ulimwengu na walimwengu wake ndo wameubadili kawaida hio
Wanahaki hiyo haujawazuia, siendi na hisia kusema huyo afanyavyo ni sawa na huyu si sawa. Ukitaka kutumia imani, upendo wa dhati ambao Yesu aliutaja uliishia kwa mitume tu na mpaka leo hakuna mtu auwezaye kwasababu hakuna mtu anajua upendo huo unaanzia wapi na ulikuaje. Na kwa upande wa scientific facts, those are just fantasy feelings ili kuufanya ubongo utengeneze amani na kuitunza ila amani ikishastabilize kichwani hizo hisia hupotea so it's not true love. Hakuna mwanamke anayekupenda kwa dhati isipokuwa mama aliyekuzaa tuUtetezi huohuo wanaopia Wanawake wanaowafanyia ubaya waume zao.
Jaribu kuelewa kuwa huwezi kusema hakuna Wanawake wenye Upendo WA kweli, hayo ni matumizi mabovu ya kufikiri
Huyo muhuni nae anachapiwa.Siku hizi Kila mtu anachapiwa
Uwe na Hela au shababi wanakuchapia tu
Wahuni sio watu wazuri
Mimi sitaki ligi kila mtu abaki na analoaminiWewe unaamini upo hivyo still unajidoubt kwenye hicho unachokitaja. Mimi ninajua haupo and I have no doubt. Walimwengu ni mimi na wewe pia hivyo kama sisi ndio tuliuharibu basi ujue haupo. Hakuna mwanamke anayekupenda kwadhati isipokuwa mama aliyekuzaa tu, wengine ni fantasies ambazo husepa baada ya muda fulani na sio upendo wa dhati.
Wanahaki hiyo haujawazuia, siendi na hisia kusema huyo afanyavyo ni sawa na huyu si sawa. Ukitaka kutumia imani, upendo wa dhati ambao Yesu aliutaja uliishia kwa mitume tu na mpaka leo hakuna mtu auwezaye kwasababu hakuna mtu anajua upendo huo unaanzia wapi na ulikuaje. Na kwa upande wa scientific facts, those are just fantasy feelings ili kuufanya ubongo utengeneze amani na kuitunza ila amani ikishastabilize kichwani hizo hisia hupotea so it's not true love. Hakuna mwanamke anayekupenda kwa dhati isipokuwa mama aliyekuzaa tu
NDIO[emoji23][emoji23][emoji23] kwahio unafikili unaweza kumchunga mwanamke?
Hili ndo suluhisho pekeeDawa ni kuacha kuumia.
Una mchungaje wee kuku kishingo😂NDIO
😂😂😂 ndio maana nikakwambia sitaongea kitu basing on feelings, nitaongea basing on facts. Nimekuambia facts zote nakukuelezea, hivyo kama ni perceptions kama unavyowaza ni wewe. Ila the factual statement ni kwamba feelings hazitengenezwi over thin air zinabases. Nanimekuelezea, hivyo it will never change the truth, hakuna mwanamke asiyekuzaa anayekupenda kwadhati hakuna. Pia nikakuelezea kwanini feelings za upendo kwamama na mtoto huanza kusuasua mpaka kufikia hatua ya kuchukua hatua ya kumchukia na kuua mtoto. Everything has an explanation, I mean everything! Nashika hili, ubongo ukishapata amani utatengeneza state of mechanism au one factor ili kuitunza amani ikiwepo kuamini kuwa mke wangu ananipenda kwadhati, hii husaidia kuitunza hiyo amani. But no woman will ever love you truly if your not from her womb. NeverUnaposema isipokuwa Mama tuu unakosea Kwa sababu hata humu ndani wapo members wengi walishakiri kabisa Mama zao hawawapendi.
Wewe kama hupendwi na Mkeo na unapendwa na Mama yako ni Wewe.
Kuna Watu wanapendwa na Wake zao kuliko Mamazao,
Pia kuna Watu hawapendwi na wake zao(upo kundi hili) na pia hawapendwi na Mama zao.
Pia kuna wanaopendwa na Mama zao na wake zao(nipo kundi hili).
Sasa usi-generalize mambo hasa yanayohusu Perception zako. Sema asilimia kubwa au Wengi wao lakini usiseme Hakuna kabisa
NDIOKwaiyo hao wanaochapwa hawakuwah kuwa mabikira???
Kuna jamaa alikuwa akiona mke kapendeza anataka kutoka,alikuwa anamrudisha ndani na anaenda kumto m b a kirough rough anahakikisha mpaka amemchubua ndo ana mruhusu aondoke kuna baadhi ya siku mwanamke alikuwa anahahirisha kabisaKama hutaki kuchapiwa mchape wewe umuache anauguza maumivu. Ukirudi mchape tena. Yaani kisipoe.
Lakini ushindi kwa mwanaume ni kumpiga saundi mwanamke hadi akakubali mwenyewe kwa hiari na kuvua chupi bila hata kumuhonga kwa hela. Na hiyo sanasana inatokeaga ulaya. Bongo hadi ufanikishe hivyo haiwezekani.I mean tujifunze kutulia kwenye ndoa maana wote tunavua nguo mkuu
Duuh nimetoka kumchapia mtu sasa ivi*Wenye pesa wanachapiwa.
*Maskini wanachapiwa.
*Wenye nguvu za kiume wanachapiwa.
Sasa ili kuepuka kuchapiwa nini kifanyike? Ili kuepuka kuchapiwa wanaume oeni mabikra.
Lakini ukijikita kutafuta hela ukapuuzia kutafuta bikra itakula kwako na utaabika mitandaoni kama akina fulani wenye hela lkn washachapiwa.
Wanaume tafuteni bikra
1. Upendo wa mama ni for your survivalWanahaki hiyo haujawazuia, siendi na hisia kusema huyo afanyavyo ni sawa na huyu si sawa. Ukitaka kutumia imani, upendo wa dhati ambao Yesu aliutaja uliishia kwa mitume tu na mpaka leo hakuna mtu auwezaye kwasababu hakuna mtu anajua upendo huo unaanzia wapi na ulikuaje. Na kwa upande wa scientific facts, those are just fantasy feelings ili kuufanya ubongo utengeneze amani na kuitunza ila amani ikishastabilize kichwani hizo hisia hupotea so it's not true love. Hakuna mwanamke anayekupenda kwa dhati isipokuwa mama aliyekuzaa tu