Nini kifanyike ili kuepuka "kuchapiwa"?

Unajidanganya sana. "Wengi" haimaanishi "Wote".

Sent from my 2201116TG using JamiiForums mobile app
 
Unaonaje watu waanze kuwa na ile open relationship/marriage.

Yaani mko pamoja kwenye ndoa au mahusiano lakini kila mtu yuko huru kutoka nje kunyanduana.
Mi napenda hiyo kwa kweli.
Au ndoa ya mkataba...tunarenew kila baada ya miaka 3. Na masharti tunawekeana. Watu akili zitanyooka
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Mi napenda hiyo kwa kweli.
Au ndoa ya mkataba...tunarenew kila baada ya miaka 3. Na masharti tunawekeana. Watu akili zitanyooka
Hizi ndio ndoa sasa hakuna kufuatiliana wala wivu wa kijinga. Ni mwendo wa kurenew mkizinguana haina kusaini mkataba
 
Dawa ni kutooa.
#KATAANDOA
 
Paka kula panya siyo habari lkn panya kula paka ndiyo habari. Nadhani umenielewa.
Havina uhusiano.
Mahusiano yana pande mbili, upande wa uaminifu na upande wa usaliti. Ila we apo unazungumzia kitu ambacho hakina pande mbili.
 
Sema nini ukioa mwanamke aliye kupenda itakuwa ngumu sana ku chepuka.
Wewe ndo umeongea point, itakuwa ngumu sana kukucheat.

"Ngumu sana" ndio msingi wa hoja yako.

Nimepitia uzi huu nimeshangaa sana kuona wanawake wanakuzwa na kuonekana viumbe wenye akili sana kuliko mwanaume, kibaya zaidi ukuzwaji huo unafanywa na wanaume wenzangu.

Huu uoga ninaouona kwa Men wenzangu umekithiri sana aiseeh[emoji1].

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…