Nini kifanyike ili kuepuka "kuchapiwa"?

Nini kifanyike ili kuepuka "kuchapiwa"?

[emoji23][emoji23][emoji23] ndio maana nikakwambia sitaongea kitu basing on feelings, nitaongea basing on facts. Nimekuambia facts zote nakukuelezea, hivyo kama ni perceptions kama unavyowaza ni wewe. Ila the factual statement ni kwamba feelings hazitengenezwi over thin air zinabases. Nanimekuelezea, hivyo it will never change the truth, hakuna mwanamke asiyekuzaa anayekupenda kwadhati hakuna. Pia nikakuelezea kwanini feelings za upendo kwamama na mtoto huanza kusuasua mpaka kufikia hatua ya kuchukua hatua ya kumchukia na kuua mtoto. Everything has an explanation, I mean everything! Nashika hili, ubongo ukishapata amani utatengeneza state of mechanism au one factor ili kuitunza amani ikiwepo kuamini kuwa mke wangu ananipenda kwadhati, hii husaidia kuitunza hiyo amani. But no woman will ever love you truly if your not from her womb. Never
Unajidanganya sana. "Wengi" haimaanishi "Wote".

Sent from my 2201116TG using JamiiForums mobile app
 
Unaonaje watu waanze kuwa na ile open relationship/marriage.

Yaani mko pamoja kwenye ndoa au mahusiano lakini kila mtu yuko huru kutoka nje kunyanduana.
Mi napenda hiyo kwa kweli.
Au ndoa ya mkataba...tunarenew kila baada ya miaka 3. Na masharti tunawekeana. Watu akili zitanyooka
 
Kuwafanya wanawake kipaumbele cha maisha yenu kitawaumiza sana nyie mafala

Mwanamke ishi nae kama paka tu

We akikisha tu amekula ameshiba

Ataenda kuzulula jion atarudi

Na Kuna kipindi paka anatoroka wiki akirudi ana mimba na humfukuzi

Fanya mambo yako mwanamke sio wa kuchungwa
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Mi napenda hiyo kwa kweli.
Au ndoa ya mkataba...tunarenew kila baada ya miaka 3. Na masharti tunawekeana. Watu akili zitanyooka
Hizi ndio ndoa sasa hakuna kufuatiliana wala wivu wa kijinga. Ni mwendo wa kurenew mkizinguana haina kusaini mkataba
 
*Wenye pesa wanachapiwa.
*Masikini wanachapiwa.
*Wenye nguvu za kiume wanachapiwa.

Sasa ili kuepuka kuchapiwa nini kifanyike? Ili kuepuka kuchapiwa wanaume oeni mabikra.

Lakini ukijikita kutafuta hela ukapuuzia kutafuta bikra itakula kwako na utaabika mitandaoni kama akina fulani wenye hela lkn washachapiwa.

Wanaume tafuteni bikra
Dawa ni kutooa.
#KATAANDOA
 
Paka kula panya siyo habari lkn panya kula paka ndiyo habari. Nadhani umenielewa.
Havina uhusiano.
Mahusiano yana pande mbili, upande wa uaminifu na upande wa usaliti. Ila we apo unazungumzia kitu ambacho hakina pande mbili.
 
Sema nini ukioa mwanamke aliye kupenda itakuwa ngumu sana ku chepuka.
Wewe ndo umeongea point, itakuwa ngumu sana kukucheat.

"Ngumu sana" ndio msingi wa hoja yako.

Nimepitia uzi huu nimeshangaa sana kuona wanawake wanakuzwa na kuonekana viumbe wenye akili sana kuliko mwanaume, kibaya zaidi ukuzwaji huo unafanywa na wanaume wenzangu.

Huu uoga ninaouona kwa Men wenzangu umekithiri sana aiseeh[emoji1].

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom