Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
*Wenye pesa wanachapiwa.
*Maskini wanachapiwa.
*Wenye nguvu za kiume wanachapiwa.
Sasa ili kuepuka kuchapiwa nini kifanyike? Ili kuepuka kuchapiwa wanume oeni mabikra.
Lakini ukijikita kutafuta hela ukapuuzia kutafuta bikra itakula kwako na utaabika mitandaoni kama akina fulani wenye hela lkn washachapiwa.
Wanaume tafuteni bikra
Ili kuepuka kuchapiwa OA MWANAMKE ANAYEKUPENDA SANA.
Mwanamke anayekupenda kutoa uchi wake ni ngumu mno. Tena Sana.