Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ni point ambayo vijana wengi wanatakiwa waichukue, badala ya kuogopa wanawake.Ili kuepuka kuchapiwa OA MWANAMKE ANAYEKUPENDA SANA.
Mwanamke anayekupenda kutoa uchi wake ni ngumu mno. Tena Sana.
Hii mitazamo ndio inayotakiwa kiumeni badala ya comments nyingi za kulialia nilizoziona kwenye uzi huu.Hiyo ni tabia ya mtu inaitwa hulka, kama umeowa mwanamke mwenye tabia ya kuwashwa chini ataliwa tu hata na Bodaboda.
Kuna wanawake wengi tu wamesamehe ajira Kwa kukataa kuvuliwa chupi na mabosi ili apewe ajira.
Sasa imagine mwanamke wa aina utamrubuni na kipi ili atoke nje ya ndoa yake? next to impossible.
[emoji419][emoji419]Wapo Wanawake wanaopenda kuliko kawaida, ingawaje ni wachache.
Hasahasa First love, tatizo siku hizi wengi wanaishi na Wanawake waliokwisha kuumizwa, mioyo imeota sugu.
Wameshatendwa Sana.
Wewe mbona unaongea kama umejuja duniani jana?It's my perspective nakubali, nanichojua mwanamke asiyekuzaa hakupendi kwa dhati hata afanye maigizo gani. Everyone has a price hivyo huyo mtu hajamfikia price yake. Just like the world is capitalized, even people are capitalized. Upendo wa dhati ni wamama tu sio mwanamke niliyekutana naye at 20s.
Kwahiyo unataka kusema wanawake hawachepuki au kuchapwa na wahuni?Wewe ndo umeongea point, itakuwa ngumu sana kukucheat.
"Ngumu sana" ndio msingi wa hoja yako.
Nimepitia uzi huu nimeshangaa sana kuona wanawake wanakuzwa na kuonekana viumbe wenye akili sana kuliko mwanaume, kibaya zaidi ukuzwaji huo unafanywa na wanaume wenzangu.
Huu uoga ninaouona kwa Men wenzangu umekithiri sana aiseeh[emoji1].
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo namba moja sio sahihi kwa wamama wote.1. Upendo wa mama ni for your survival
2. Upendo wa mkeo ni for her survival
Kazi kwako, chagua kifurushi unachotaka hapo juu
Key point ni "inakuwa ngumu sana kwa baadhi"Kwahiyo unataka kusema wanawake hawachepuki au kuchapwa na wahuni?
[emoji23][emoji23]Kuna jamaa alikuwa akiona mke kapendeza anataka kutoka,alikuwa anamrudisha ndani na anaenda kumto m b a kirough rough anahakikisha mpaka amemchubua ndo ana mruhusu aondoke kuna baadhi ya siku mwanamke alikuwa anahahirisha kabisa
Wewe mbona unaongea kama umejuja duniani jana?
Unaposema kwa uhakika kuwa, mwanamke aliyekuza ndiye atakae kupenda unakuwa umefikiria vizuri? Mama yako huyohuyo ukikaa vibaya anashirikiana na baba'ko kukutoa kafara ili watajirike (japo sio wote)
Kwahiyo kama ambavyo sio wazazi wote wenye kuwapenda watoto wao, vivyo hivyo sio wanawake wote wenye kuwapenda wanaume zao (wasiowapenda wanaume wao ni wengi lakini wapo wachache wanaowapenda kwa dhati)
Uzoefu wako katika mapenzi usiufanye kuwa universal (kwamba hakuna mwanamke yoyote anaependa kwa dhati dunia nzima)
Mkuu Robert Heriel , alikuwa sawa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Chief, we tumia hisia zako na vitu vyote uvitakavyo ila sijatumia experience mimi hapo. Nilishaillustrate nakuelezea basing on scientific facts, I really don't care uaminivyo. Pia jua sio wote tunaexperience na mapenzi😂😂😂, ninaobjectives zangu. Kudos boss!Wewe mbona unaongea kama umejuja duniani jana?
Unaposema kwa uhakika kuwa, mwanamke aliyekuza ndiye atakae kupenda unakuwa umefikiria vizuri? Mama yako huyohuyo ukikaa vibaya anashirikiana na baba'ko kukutoa kafara ili watajirike (japo sio wote)
Kwahiyo kama ambavyo sio wazazi wote wenye kuwapenda watoto wao, vivyo hivyo sio wanawake wote wenye kuwapenda wanaume zao (wasiowapenda wanaume wao ni wengi lakini wapo wachache wanaowapenda kwa dhati)
Uzoefu wako katika mapenzi usiufanye kuwa universal (kwamba hakuna mwanamke yoyote anaependa kwa dhati dunia nzima)
Mkuu Robert Heriel , alikuwa sawa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa vijana wa humu sometimes kuwaangalia tu wanawachukulia powa wanawake, wanawake ni zaidi ya wawajuavyo, hata hao bar made wanaowadharau akiamuwa anakaza unapigwa kalenda tu kama fala au unakimbiwa at last point.Hii mitazamo ndio inayotakiwa kiumeni badala ya comments nyingi za kulialia nilizoziona kwenye uzi huu.
Umeongea point ya msingi.
Sent using Jamii Forums mobile app