MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Funga cctv cameras mabarabarani kila mahali. Ajiri watu (au hao askari peleka mafunzo) wa ku monitor kila wilaya iwe na kituo cha ku monitor traffic activities.Ni wakati sahihi wa kuondoa hii dhana iliyojengekea kuwa askari wa usalama barabarani wako kwa ajili ya pesa za waendesha magari (madereva)... iwe kihalali au rushwa ni kuwa kuna dhana kwamba matrafiki wanawaza pesa tu. Hii sio sawa. Mimi naona trafiki wako kwa ajili ya usalama barabarani na sio pesa.
Je, wewe unaona nini kifanyike ili kuondoa hii dhana?
CCM hawawezi fanya hivyo kakaFunga cctv cameras mabarabarani kila mahali. Ajiri watu (au hao askari peleka mafunzo) wa ku monitor kila wilaya iwe na kituo cha ku monitor traffic activities.
Toa askari barabarani.
Kwani wewe unaona hii ni dhana.nadhani ni dhahiri na ndiyo ilivyo wapo kwa ajili ya kukusanya fedha kutoka kwa wanchi,wala siyo kwaajili ya kutoa elimu na ushauri.Ni wakati sahihi wa kuondoa hii dhana iliyojengekea kuwa askari wa usalama barabarani wako kwa ajili ya pesa za waendesha magari (madereva)... iwe kihalali au rushwa ni kuwa kuna dhana kwamba matrafiki wanawaza pesa tu. Hii sio sawa. Mimi naona trafiki wako kwa ajili ya usalama barabarani na sio pesa.
Je, wewe unaona nini kifanyike ili kuondoa hii dhana?
Ni wakati sahihi wa kuondoa hii dhana iliyojengekea kuwa askari wa usalama barabarani wako kwa ajili ya pesa za waendesha magari (madereva)... iwe kihalali au rushwa ni kuwa kuna dhana kwamba matrafiki wanawaza pesa tu. Hii sio sawa. Mimi naona trafiki wako kwa ajili ya usalama barabarani na sio pesa.
Je, wewe unaona nini kifanyike ili kuondoa hii dhana?
Kwani huko barabarani huwa wanafanya kazi gani ya maana zaidi ya kupokea rushwa na kukusanya ushuru wa serikali kupitia makosa ya kubambikia?Ni wakati sahihi wa kuondoa hii dhana iliyojengekea kuwa askari wa usalama barabarani wako kwa ajili ya pesa za waendesha magari (madereva)... iwe kihalali au rushwa ni kuwa kuna dhana kwamba matrafiki wanawaza pesa tu. Hii sio sawa. Mimi naona trafiki wako kwa ajili ya usalama barabarani na sio pesa.
Je, wewe unaona nini kifanyike ili kuondoa hii dhana?