NgerukeAbra
JF-Expert Member
- Sep 5, 2022
- 4,253
- 5,789
Kwa miili haitawezekana labda majivu tu kwani ilikwisha chomwa moto kwenye matanuru ya kiwanda cha cement.MIILI YA WALIOUAWA OCTOBER IRUDISHWE KWA WENYEWE
Mshahara wao ni nini baada ya hiki kibarua!b)Vijana hao wataelekezwa wakae sehemu gani ya ukumbi ili itakapofika muda wa kuleta salamu za mama washangilie kwa nguvu zote.
Buku tenMshahara wao ni nini baada ya hiki kibarua!