Nini kifanyike ili tren ya SGR isife!??

Nini kifanyike ili tren ya SGR isife!??

In short tunafahamu weakness tulonayo kwa viongozi wengi serikalini ie, sio waoga kuiba by any means, ni very slow thinkers, pia mifumo ya usimamizi wa mashirika makubwa ya serikali unamuliwa na wana siasa na sio wasomi walobobea, so hua hakuna any improvement kwenye hayo mashirika zaidi ya ukiritimba na kufa kifo cha taratibu, so serikali ikitaka hizi treni ziendele wapewe private investors tu, serikali ibaki kua msimamizi na mtoa muongozo, hasa wa kusimania prices ili wananchi wasinyonywe, na ipokee kodi tu, na mikataba ya muda mfupi mfupi, 3 yeas maxmum, mamtatmini then alinew mkataka au aje mwingine..
,
USHAURI WANGU

Tuwape investors wa China, Korea, Japan au US, huu mradi wauendeshe wao, sababu nimeshuhudia wao hufanya vizuri sana kwenye kuendesha mashirika ya hizi SGR thing, na huweka system bora sana za kudeal na wateja wanaotumia, hata huongeza technology nzuri sana na kuwa rahisi sana kwa watumiaji. Only best system itasimamia huu mradi vizuri.

MH. Rais Samia Suluhu Hassan, please zingatia ushauri wangu, utakuja kunielewa hiki nachozungumza sasa. Ukitaka mradi uendelee kuimarika, please find investors from those countries, or even anywhere, ila wasiwe wahindi wala waarabu[emoji19], cas hao ni worse kwenye hili, yani bora hata watz 100% kuliko hao, usijaribu hao [emoji120][emoji120][emoji120]
 
Nawasalimu nyote kupitia jina kuu lipitalo majina yote.!

Nilitaka kutabiri muda wa anguko au kufa Kwa SGR nikakuta kumbe kuna nabii kashaa tabiri kwamba haifiki miaka 6 hii tren itashindwa kuendelea, mimi nilitaka niipe miaka 2 pekee.

Sasa ipo hivi, huu mradi ni wetu sote na unatusaidia zaidi sana tunatamani udumu miaka yote mpaka vitukuu waje wautumie na wa enjoy kwamba kuna raia wa Kale walithubutu mambo makubwa.

Kwa nini unaonekana sio sustainable?
1. Waajiriwa wengi wa serikali si waaminifu kabisaaa, wao wanawaza kupiga pesa Kwa kwenda mbele, mkurugenzi akiona maingizo bil. 4 ataenda akae abuni malipo ya hovyo walipane hizo pesa mpaka akaunti isome negative, rejea usafiri wa mabus ya mwendokasi na ndege. Ndege zitu zinaendeshwa Kwa hasara na mabus mengi yamepaki yanaozeana. Nasikia hata mfumo wa tiketi wameuchezea wanakusanyia bogoroni.!!
Rejea mashirika ya umma yote mfano TTCL ni hasara tupu.!!!

2. Huu usafiri ni delicate sana, unahitaji care na maintaince muda wote kitu ambacho serikali haiwezi kufanya biashara ya hivyo, mara nyingi mfumo wa serikali unataka kuona pesa inaingia tu na si kutoka na kama itatoka basi lazima ipigwe sana, kitu cha kutengeneza laki 2 kitatengenezwa Kwa bil. 2. Rejea mifumo ya manunuzi na matengenezo serikalin.

Mapema kabisa zimeanza delay za kuanza safari na kufupisha ruti, nasikia ngedere wanatupiwa lawama zote.!

3. Vita/fitina dhidi ya wafanya biashara wa mabus.
Juzi nilikua Dodoma, ikaingia bus ya Shabiby, wale ma agent nikakuta wanaongea " ona bus ipo empty kabisa, yaani hii tren inatulaza njaa" mi nilikua nawasikiliza tu pembeni.
Fikiria, tren at once inabeba abiria 700+ ambao ilikua wawe wamepanda mabus zaidi ya 14.
Hawa wafanyabiashara wanaweza wakaongea na wasimamizi wa tren wafanye sabotage ili tren ikwame abiria wakajaze mabus yao.
Kama kipindi cha Magu waliweza kufungulia maji ili umeme usipatikane makampuni yauze jenereta, solar na tununue umeme nje watashindwa nini kwenye tren.???

Nini kifanyike!?
1. Atafutwe muwekezaji, serikali iingie mikataba mifupi mifupi labda miaka 2 then ana renew au anashindanishwa na wawekezaji wengine.
Maadam pirot ya makusanyo ipo ni rahisi kuingia mkataba profitable.

2. Kama itabaki kusimamiwa na serikali basi apatikane msimamizi top ambaye ni mwaminifu na anahofu ya Mungu, mfano prof Assad yule mzee wa CAG ila aongeze ukali Kwa atakao kuwa anawasimamia vinginevyo mradi utakua shamba la bibi.!
Ushauri namba 2 ni dhaifu.!

"Serikali haiwezi kufanya biashara, itapigwa na itafeli tuu"
Huu mradi ulishakufa kabla ya kuanza ,ni danganya toto tu hiyo wanafanya. Ila huu mradi hautoboi miaka mitano bila ya kubinafisishiwa mwekezaji. Ni swala la muda tu.
 
Ikabidhi kwa ngozi nyeupe tu.
Vinginevyo Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un
 
In short tunafahamu weakness tulonayo kwa viongozi wengi serikalini ie, sio waoga kuiba by any means, ni very slow thinkers, pia mifumo ya usimamizi wa mashirika makubwa ya serikali unamuliwa na wana siasa na sio wasomi walobobea, so hua hakuna any improvement kwenye hayo mashirika zaidi ya ukiritimba na kufa kifo cha taratibu, so serikali ikitaka hizi treni ziendele wapewe private investors tu, serikali ibaki kua msimamizi na mtoa muongozo, hasa wa kusimania prices ili wananchi wasinyonywe, na ipokee kodi tu, na mikataba ya muda mfupi mfupi, 3 yeas maxmum, mamtatmini then alinew mkataka au aje mwingine..
,
USHAURI WANGU

Tuwape investors wa China, Korea, Japan au US, huu mradi wauendeshe wao, sababu nimeshuhudia wao hufanya vizuri sana kwenye kuendesha mashirika ya hizi SGR thing, na huweka system bora sana za kudeal na wateja wanaotumia, hata huongeza technology nzuri sana na kuwa rahisi sana kwa watumiaji. Only best system itasimamia huu mradi vizuri.

MH. Rais Samia Suluhu Hassan, please zingatia ushauri wangu, utakuja kunielewa hiki nachozungumza sasa. Ukitaka mradi uendelee kuimarika, please find investors from those countries, or even anywhere, ila wasiwe wahindi wala waarabu[emoji19], cas hao ni worse kwenye hili, yani bora hata watz 100% kuliko hao, usijaribu hao [emoji120][emoji120][emoji120]
Umetoa ushauri konki sana aisee, sasa nipo nawaza rais wangu SSH atauonaje tumebaki machakani huku tunabonyeza bonyeza vi simu vyetu!???
 
Huwezi kuelewa kwamba nchi ya Tanzania imejengwa kwa misingi ya Uzalendo........mwananchi anapenda kila mradi uwe chini ya serikali yao.
Sahizi watu waelewa sana.!
 
Umetoa ushauri konki sana aisee, sasa nipo nawaza rais wangu SSH atauonaje tumebaki machakani huku tunabonyeza bonyeza vi simu vyetu!???
yupo humu, si lazima nimtag but yumo, na wengine baadhi wa karibu yake wamo watamfikishia pia mkuu, usijari
 
Nini kifanyike!?
1. Atafutwe muwekezaji, serikali iingie mikataba mifupi mifupi labda miaka 2 then ana renew au anashindanishwa na wawekezaji wengine.
Maadam pirot ya makusanyo ipo ni rahisi kuingia mkataba profitable.
Wawekezaji tumewachoka hakuna mtanzania ananufaika nao jifunze UDART
Wapewe JW waisimamie
 
Kama ikipewa msimamizi ambaye yeye jukumu lake ni kusimamia kilakitu na janja janja zikaondolewa naona maisha ya hii SGR.

Kubwa ni msimamizi na mwendeshaji yeye afanye kilakitu mwenyewe ila fungu alete serikali kuu na yeye ajilipe chake tu
Hivi hakuna watanzania wanaoweza kusomeshwa na serikali wakafanya hiyo kazi badala ya kila kitu kufanywa na mwekezaji? Anachokifanya huyo mwekezaji kifanywe na watendaji wa serikali, kama waliopo wana mapungufu ya kitaaluma basi wapelekwe wakasome
 
Wewe mwenyewe ukiwa top kwenye hiyo miradi utataka tu 10% kilazima, uwe unataka au hutaki.

Ndio utamaduni wetu huo ndgu yangu, kuna mahali mtumishi anataka kufanya wema ila mfanyiwa wema anataka atoe chochote kitu ni basi tu kazoea kununua haki, anaamini kile chochote anachotoa kitamlinda endapo akimessup.

Rushwa, ubadhirifu wa fedha ni janga kubwa sana hii nchi. Imagine mtu anaiba waziwazi kabisa bila kificho ila mamlaka zinamkingia kifua...
 
Hivi hakuna watanzania wanaoweza kusomeshwa na serikali wakafanya hiyo kazi badala ya kila kitu kufanywa na mwekezaji? Anachokifanya huyo mwekezaji kifanywe na watendaji wa serikali, kama waliopo wana mapungufu ya kitaaluma basi wapelekwe wakasome
Ndugu yangu wee, wataalamu wapo wengi sana, watu wa biashara, injinia n.k lakini shida ni hujuma na kuto jali.!

Watumishi wa serikali asilimia 99.9 ni wapigaji, ukiona hapigi hana cha kupiga katika mazingira yake.!
Sijui nikwambiaje aisee.!

Changamoto ya ubinafsishaji ni aina na wakati wa kuweka mkataba, uki win pale serikali kupitia kubinafsisha inafaidi.!
 
Hivi hii nchi inaweza kusimami kitu gani kwa ufasaha na kikafanikiwa? Mbona kila kitu hatuwezi???
 
Mashirika mengi ya serikali yamekufa kwa ajili ya janja janja au ramba ramba,sasa wakiweza kudhibiti mapato,ili yaweze kutumika ipasavyo kwenye maintanace,na malipo ya mishahara hapo watakuwa wameiweza,hapo kwenye maintanance maana yake ni reli yenyewe,mabehewa na vichwa vyake,na miundo mbinu ya umeme...
 
Professor huyo ni mcha Mungu sana hawezi kupambana na majizi
Humu JF kuna watu wengi sana wanaopinga wizi wachaguliwe kutoka humu na mimi nikiwemo
Mbona watanyooka majizi maana kabla hawajaniwekea sumu nayawekea menyewe yafie humo humo kabla hayajafika Morogoro

Inataka watu wasioogopa na kupambana nayo haya manyang'au
 
Nawasalimu nyote kupitia jina kuu lipitalo majina yote.!

Nilitaka kutabiri muda wa anguko au kufa Kwa SGR nikakuta kumbe kuna nabii kashaa tabiri kwamba haifiki miaka 6 hii tren itashindwa kuendelea, mimi nilitaka niipe miaka 2 pekee.

Sasa ipo hivi, huu mradi ni wetu sote na unatusaidia zaidi sana tunatamani udumu miaka yote mpaka vitukuu waje wautumie na wa enjoy kwamba kuna raia wa Kale walithubutu mambo makubwa.

Kwa nini unaonekana sio sustainable?
1. Waajiriwa wengi wa serikali si waaminifu kabisaaa, wao wanawaza kupiga pesa Kwa kwenda mbele, mkurugenzi akiona maingizo bil. 4 ataenda akae abuni malipo ya hovyo walipane hizo pesa mpaka akaunti isome negative, rejea usafiri wa mabus ya mwendokasi na ndege. Ndege zitu zinaendeshwa Kwa hasara na mabus mengi yamepaki yanaozeana. Nasikia hata mfumo wa tiketi wameuchezea wanakusanyia bogoroni.!!
Rejea mashirika ya umma yote mfano TTCL ni hasara tupu.!!!

2. Huu usafiri ni delicate sana, unahitaji care na maintaince muda wote kitu ambacho serikali haiwezi kufanya biashara ya hivyo, mara nyingi mfumo wa serikali unataka kuona pesa inaingia tu na si kutoka na kama itatoka basi lazima ipigwe sana, kitu cha kutengeneza laki 2 kitatengenezwa Kwa bil. 2. Rejea mifumo ya manunuzi na matengenezo serikalin.

Mapema kabisa zimeanza delay za kuanza safari na kufupisha ruti, nasikia ngedere wanatupiwa lawama zote.!

3. Vita/fitina dhidi ya wafanya biashara wa mabus.
Juzi nilikua Dodoma, ikaingia bus ya Shabiby, wale ma agent nikakuta wanaongea " ona bus ipo empty kabisa, yaani hii tren inatulaza njaa" mi nilikua nawasikiliza tu pembeni.
Fikiria, tren at once inabeba abiria 700+ ambao ilikua wawe wamepanda mabus zaidi ya 14.
Hawa wafanyabiashara wanaweza wakaongea na wasimamizi wa tren wafanye sabotage ili tren ikwame abiria wakajaze mabus yao.
Kama kipindi cha Magu waliweza kufungulia maji ili umeme usipatikane makampuni yauze jenereta, solar na tununue umeme nje watashindwa nini kwenye tren.???

Nini kifanyike!?
1. Atafutwe muwekezaji, serikali iingie mikataba mifupi mifupi labda miaka 2 then ana renew au anashindanishwa na wawekezaji wengine.
Maadam pirot ya makusanyo ipo ni rahisi kuingia mkataba profitable.

2. Kama itabaki kusimamiwa na serikali basi apatikane msimamizi top ambaye ni mwaminifu na anahofu ya Mungu, mfano prof Assad yule mzee wa CAG ila aongeze ukali Kwa atakao kuwa anawasimamia vinginevyo mradi utakua shamba la bibi.!
Ushauri namba 2 ni dhaifu.!

"Serikali haiwezi kufanya biashara, itapigwa na itafeli tuu"
Uko sahihi kwenye ushauri namba 1. Serikal na biashara wapi na wapi manyumba haya ya NHC mpangaji anaanza kuishi tangu kijana hadi wnaoata wajukuu humo huko sio kwamba analipa kodi bali anakaa kama bure tu.
 
Watumishi wa serikali asilimia 99.9 ni wapigaji, ukiona hapigi hana cha kupiga katika mazingira yake.!
Sijui nikwambiaje aisee.!

Changamoto ya ubinafsishaji ni aina na wakati wa kuweka mkataba, uki win pale serikali kupitia kubinafsisha inafaidi.!
China wananyonga mmoja ili wengi wapone
 
Nawasalimu nyote kupitia jina kuu lipitalo majina yote.!

Nilitaka kutabiri muda wa anguko au kufa Kwa SGR nikakuta kumbe kuna nabii kashaa tabiri kwamba haifiki miaka 6 hii tren itashindwa kuendelea, mimi nilitaka niipe miaka 2 pekee.

Sasa ipo hivi, huu mradi ni wetu sote na unatusaidia zaidi sana tunatamani udumu miaka yote mpaka vitukuu waje wautumie na wa enjoy kwamba kuna raia wa Kale walithubutu mambo makubwa.

Kwa nini unaonekana sio sustainable?
1. Waajiriwa wengi wa serikali si waaminifu kabisaaa, wao wanawaza kupiga pesa Kwa kwenda mbele, mkurugenzi akiona maingizo bil. 4 ataenda akae abuni malipo ya hovyo walipane hizo pesa mpaka akaunti isome negative, rejea usafiri wa mabus ya mwendokasi na ndege. Ndege zitu zinaendeshwa Kwa hasara na mabus mengi yamepaki yanaozeana. Nasikia hata mfumo wa tiketi wameuchezea wanakusanyia bogoroni.!!
Rejea mashirika ya umma yote mfano TTCL ni hasara tupu.!!!

2. Huu usafiri ni delicate sana, unahitaji care na maintaince muda wote kitu ambacho serikali haiwezi kufanya biashara ya hivyo, mara nyingi mfumo wa serikali unataka kuona pesa inaingia tu na si kutoka na kama itatoka basi lazima ipigwe sana, kitu cha kutengeneza laki 2 kitatengenezwa Kwa bil. 2. Rejea mifumo ya manunuzi na matengenezo serikalin.

Mapema kabisa zimeanza delay za kuanza safari na kufupisha ruti, nasikia ngedere wanatupiwa lawama zote.!

3. Vita/fitina dhidi ya wafanya biashara wa mabus.
Juzi nilikua Dodoma, ikaingia bus ya Shabiby, wale ma agent nikakuta wanaongea " ona bus ipo empty kabisa, yaani hii tren inatulaza njaa" mi nilikua nawasikiliza tu pembeni.
Fikiria, tren at once inabeba abiria 700+ ambao ilikua wawe wamepanda mabus zaidi ya 14.
Hawa wafanyabiashara wanaweza wakaongea na wasimamizi wa tren wafanye sabotage ili tren ikwame abiria wakajaze mabus yao.
Kama kipindi cha Magu waliweza kufungulia maji ili umeme usipatikane makampuni yauze jenereta, solar na tununue umeme nje watashindwa nini kwenye tren.???

Nini kifanyike!?
1. Atafutwe muwekezaji, serikali iingie mikataba mifupi mifupi labda miaka 2 then ana renew au anashindanishwa na wawekezaji wengine.
Maadam pirot ya makusanyo ipo ni rahisi kuingia mkataba profitable.

2. Kama itabaki kusimamiwa na serikali basi apatikane msimamizi top ambaye ni mwaminifu na anahofu ya Mungu, mfano prof Assad yule mzee wa CAG ila aongeze ukali Kwa atakao kuwa anawasimamia vinginevyo mradi utakua shamba la bibi.!
Ushauri namba 2 ni dhaifu.!

"Serikali haiwezi kufanya biashara, itapigwa na itafeli tuu"
Magufuli afufuke.
images.jpeg-90.jpg
 
Back
Top Bottom