figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Salaam Wakuu,
Ni aibu kubwa mbele ya Dunia kuna Misafara ya Viongozi wa Tanzania inavyokuwa Mikubwa. Magari Zaidi ya 300 yanamfuata Mtu Mmoja tu.
Magari ya Ulinzi sina tatizo nalo, ila magari ya Watu eti Waziri, Katibu, Mkurugenzi Mkuu wa Mkoa na Wilaya, IGP, nk wote kila mtu anaenda na gari lake tena anapanda mmoja yeye na dereva wake tu. Na wanajisifia Msafara ulikuwa mkubwa. Kumbuka wote wanatumia mafuta ya Serikali na Posho ya Serikali.
Marais wakienda Nchi za Wenzetu wanapandishwa Mabasi, Kwanini hawa wanaomsindikiza rais wasipande Mabasi?
Rais Samia Suluhu Hassan akiwa miongoni mwa baadhi ya wakuu wa nchi ndani ya basi wakielekea katika eneo la Westminster Abbey jijini London ambapo yalifanyika mazishi ya Malkia Elizabeth II. Wengine waliokuwa kwenye basi hilo ni Rais wa Kenya, William Ruto na mkewe Rachel na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki wa Tanzania, Mbarouk Nassor Mbarouk.
Kuna shida gari Mawaziri na Viongozi wengine wakipanda basi moja kwenda Rais Maia anapofanyia Mkutano au kikao?
Hii misafara inaonesha ni Jinsi gani Viongozi wetu ambavyo hawana Huruma wala Uchungu na Nchi yao. Wakati huo huo Wananchi hawana Maji wala Madawa. Ambulance hakuna nk