Wakili wa shetani
JF-Expert Member
- Nov 22, 2022
- 1,726
- 3,391
Imekuwa kama wimbo. Kila ikifika january maisha kuwa magumu na watu kulalamika kuwa hali mbaya, kama vile ni jambo la sifa. Sasa si vyema watu wazima kulalamikia(Kushabikia) tatizo miaka nenda rudi. Tuje na suluhisho ambalo litakomesha mdororo wa uchumi ambao hutokea mwezi januari.
Wazo langu. Benki kuu, kupitia mabenki ya biashara yatoe mkopo special wa mwezi january hasa kwa wafanyakazi. Wote wanaopata mishahara wapewe labda mara mbili ya take home yao kwenye mwezi januari. mwanzo na mwisho wa mwezi. Riba iwe ndogo iwezekanavyo na mkopo huo aulipe kwa miezi 12. Mfano mtu take home yake ni 700,000. Basi mwezi januari apewe 700,000 mwanzoni mwa mwezi na laki saba nyingine mwishoni mwa mwezi. hii laki saba ailipe kwa miezi 11 ijayo. Labda kwa riba ya 10% tu.
wafanyakazi wote, wa sekta binafsi na serikali wakipewa huu mkopo itaongeza sana mzungfuko wa pesa. Pia inaweza angaliwa na namba ya sekta zingine kama wafanyabiashara na wengineo namna ya kupata kitu kama hicho.