MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Emu watz tuwe na utaratibu wa kujenga hoja na kutafuta suluhishi. Kwan wakitoka CCM si watakuja wengine je watafanyeje kuhakikisha hayo matatizo hakuna, nadhan ndo ungekua msingi wa hoja kuliko kuleta spinning za kisiasa kweny critical issuesCCM hawawezi kila kitu
Nadhani kichwani una minyoo. Kila kitu CCMCCM hawawezi kila kitu
Nadhani kichwani una minyo
Pole CCM wanajaza kiongozi Kwa ukoo hayo Ndio matokeo yakeNadhani kichwani una minyoo. Kila kitu CCM
CCM ndiyo. Hatujawahi kuongozwa na chama kingine. Culture na tabia za mtu mmoja mmoja zilizojijenga Tanzania huwezi kuzitenganisha na CCM. Jiulize ni kwa nini kila nchi watu wanakuwa na tabia nyingi ambazo ni unique...? Hii inatokana na uongozi unavyoi-shape jamii husika. Ukiwa na serikali isiyoruhusu shortcut kwenye kipato, matokeo yake unakuwa na jamii inayochapa kazi kwa sababu hakuna njia nyingine ya kupata mlo.Nadhani kichwani una minyoo. Kila kitu CCM
Hatari sana.nmekaa hapo kota block two floor ya juu. Changamoto kuu hapo ni maji aisee yaan maji hayapandi hivyo lift ndo kama mkokoteni japo lift ni nzima na inapiga kaz fresh tu. Kingine ni kama hamna property manager wa kuhakikisha usafi na mambo mengine. Watu wabish kutoa michango yaan kiufupi maskini habebegi. Mwisho the citizen nao wameongeza chumvi sana hapo kweny matatizo
Wewe naona umeamua kuwa mjinga kwa sababu unazozijua wewe mwenyewe. Basi hata huu ujinga ulio nao ni CCM wamekusababishia.CCM ndiyo. Hatujawahi kuongozwa na chama kingine. Culture na tabia za mtu mmoja mmoja zilizojijenga Tanzania huwezi kuzitenganisha na CCM. Jiulize ni kwa nini kila nchi watu wanakuwa na tabia nyingi ambazo ni unique...? Hii inatokana na uongozi unavyoi-shape jamii husika. Ukiwa na serikali isiyoruhusu shortcut kwenye kipato, matokeo yake unakuwa na jamii inayochapa kazi kwa sababu hakuna njia nyingine ya kupata mlo.