:Hamumjui Mangungu ni nani pale na Amewekwa na nani.
:Hamjui kwanini Swedi Mkwabi alijiuzuru.
:Hamjui kwanini Akina Senzo walitolewa simba wakaondoka.
:Hamjui seke seke la Akina Haji
Hamjui hata kwanini sisi viagaa tulitolewa pale.
Sikubaliani na mambo mengi yanayotendeka hapo Simba sc ila ulichoandika hapa ni upuuzi mtupu.
Kwanza unaposema sekeseke la kina haji ni uongo, haji manara ni mpuuzi aliondolewa Simba kwa utovu wa nidhamu kwa kutoeshimu taasisi na viongozi wake.
alijiona amekuwa mkubwa kuliko taasisi iliyo muajiri! Taasisi yeyote ile yenye weredi ni ngumu kufanya kazi na mtu asie na heshima!
CEO Barbra alikuwa sahihi kumfukuza uyo mtu.
Suala la Senzo ni suala tunalijua alikuwa ni muongeaji mzuri ila utendaji wake ulikuwa si mzuri,alikuwa na makando kando mengi ya nje ya uwanja, kuonyesha kuwa halikuwa na mapungufu!!
haliondoka Simba bila hata kukabidhi ofisi na nyaraka muhimu! Gafra anaonekana upande wa pili akisaini mkataba wa kazi huu ni uswahili.
Swedi nkwabi alikuwa ana hoja lakini alishindwa kuadress kwa wanachama walio mchagua!
Umechaguliwa na wanachama unajiuzulu bila kuwaambia sababu ni nini? waliokuchagua huo ni ujinga! Ni sawa na mtu anaeamua kujinyonga chumbani kwa mumewe! bila kueleza sababu za kufanya hivyo na kuacha sintofahamu na kuleta shida kwa mumewe.
Kuhusu Mangungu kuwekwa na nani? sisi hatujui wewe unaejua ndio useme amewekwa na nani? ili utufumbue macho!
Vinginevyo ni utapeli wako wa kucheza na maneno tu! Suala la Mangungu kutokuwa na sauti ni uongo!
Mangungu ni mwakilishi wa wanachama kwenye bodi ya wakurugenzi anayo haki ya kutoa maoni na mawazo ya wanachama kwa uhuru wote,
kama kuna changamoto yeyote kwenye bodi ni vyema arudi kwa wanachama kuwaeleza tatizo ni nini?! Kukaa kimya wakati anaona kuna shida maana yake ni ujinga.
Kutuuliza kuwa hatujui kwa nini wewe ulitolewa!! bila kutuambia wewe ilikuwa nani? na ulikuwa majukumu gani pale Simba SC?! Huo nao ni ujinga wako! Maana hatukujui! Na hatujui kama uliwahi kufanya kazi hapo Simba! Uenda hujawahi kufanya kazi Simba SC bali ni mbwembwe zako za kujipa umuhimu hapa jukwaani!
Mnapaswa kuelewa JF ni jukwaa la ma great thinkers! Japokuwa vishoia wamekuwa wengi! Mnavyoleta mambo yenu muwe mmejipanga watu wenye akili tupo! Msizoe maneno ya mitaani na kuleta uku.