Nini kifanyike kuokoa simba

Nini kifanyike kuokoa simba

:Hamumjui Mangungu ni nani pale na Amewekwa na nani.

:Hamjui kwanini Swedi Mkwabi alijiuzuru.

:Hamjui kwanini Akina Senzo walitolewa simba wakaondoka.

:Hamjui seke seke la Akina Haji

Hamjui hata kwanini sisi viagaa tulitolewa pale.
 
Hizi NGUVU zielekezeni kwenye kuilalamikia CAF ya Simba hayahusu. Yanga wajue Simba huwa inaishia robo sio Kwa sababu ni mbovu Bali huko 'juu' ni kugumu. Robo robo hizi ndizi zimiheshimisha Simba na Jana ilikuwa inacheza na club namba moja Africa.
 
Mo hana shida,hela ya usajili anatoa wanasajiliwa wachezaji toka Tandika na Mwananyamala. Unaondoa Baleke na Phiri unaleta Jobe na Cobra hizo ni akili au makamasi tu? Mangungu na uongozi wote waondoke hakuna mtu wa mpira pale wote wapigaji tu.
Kwa nini hamumsemi babacar sarr?
Huyu ni mchezaji wa kawaida sana lakini ndio hivyo yupo sana simba
 
MSISITIZO WANGU SIMBA ULIKUWA NI.

1. UWEKEZAJI BORA.

2. UONGOZI BORA.

3. WACHEZAJI BORA

KAMPENI ILIKUWA NI 3 TATU BORA.
 
Kufuatia kuwa na matokeo yasiyoridhisha hasa katika michezo ya muhimu na migumu, kama huu wa leo, nini kifanyike ili kuinusuru timu yetu pendwa simba sport club?
Kwa upande wangu
1.mo afukuzwe
2.waje wawekezaji wapya
3.uongozi wote tushinikize ujiuzulu, uchaguzi ufanyike upya
4. Mfumo wa mabadiliko ya uendeshaji wa club, urudiwe upya kwani mo na genge lake waliuharibu
5. Tuwadhibu wachezaji kwa kuwa wazembe, mtu unaruka kichwa kama kindama kilichotoka nje, au kama kimbuzi kidogo
6wachezaji wazee wote tupa kule
Simba is already dead. Kwanza saivi haipaswi kuitwa simba tena, tuiite ngamia chakula ya warabu.
 
Matatizo pale Simba yanaanzia kwa MO Dewji uyu bwana ni mjanjajanja tu! Hakuna mwekezaji humo.
Ukitizama toka amekuja Simba usajili unaofanyika ni wa kuvizia na kubahatisha sana! Hakuna muendelezo wala hakuna plan ya maana inayoonekana, na yeye kutwa kuchwa ni kulalamika tu! Nafikili ifike pahala kwakuwa uwekezaji bado taratibu zote hazijakamilika atoke tu! Timu ipate muekezaji mwingine mwenye vision ya maana.
Tunamshukuru kwa mchango wake hapo Simba ni wakati wa yeye kuondoka.
 
Simba is already dead. Kwanza saivi haipaswi kuitwa simba tena, tuiite ngamia chakula ya warabu.

Karibu sana Jamii Forum.

HAPA NI HOME OF GREAT THINKERS. SIO MAHALI PA UJINGA NA MIZAHA.

Otherwise .
Long life Jamii Forum
 
Kufuatia kuwa na matokeo yasiyoridhisha hasa katika michezo ya muhimu na migumu, kama huu wa leo, nini kifanyike ili kuinusuru timu yetu pendwa simba sport club?
Kwa upande wangu
1.mo afukuzwe
2.waje wawekezaji wapya
3.uongozi wote tushinikize ujiuzulu, uchaguzi ufanyike upya
4. Mfumo wa mabadiliko ya uendeshaji wa club, urudiwe upya kwani mo na genge lake waliuharibu
5. Tuwadhibu wachezaji kwa kuwa wazembe, mtu unaruka kichwa kama kindama kilichotoka nje, au kama kimbuzi kidogo
6wachezaji wazee wote tupa kule
Mo si tatizo, ila management ya timu ya akina mangungu na try again, eanaleta wachezaji wa ajabu, practicaly simba haina mchezaji wa maana toka babra aondoke, simba itafute management mpya na iondoe wachezaji ving’ang’anizi
 
Simba waingize wanachama wapya maana waliopo wengi ni machawa wa mo wameshindwa kusimamia mchakato mzima wa mabadiliko kwa kugongwa pesa.
 
:Hamumjui Mangungu ni nani pale na Amewekwa na nani.

:Hamjui kwanini Swedi Mkwabi alijiuzuru.

:Hamjui kwanini Akina Senzo walitolewa simba wakaondoka.

:Hamjui seke seke la Akina Haji

Hamjui hata kwanini sisi viagaa tulitolewa pale.
Sikubaliani na mambo mengi yanayotendeka hapo Simba sc ila ulichoandika hapa ni upuuzi mtupu.
Kwanza unaposema sekeseke la kina haji ni uongo, haji manara ni mpuuzi aliondolewa Simba kwa utovu wa nidhamu kwa kutoeshimu taasisi na viongozi wake.
alijiona amekuwa mkubwa kuliko taasisi iliyo muajiri! Taasisi yeyote ile yenye weredi ni ngumu kufanya kazi na mtu asie na heshima!
CEO Barbra alikuwa sahihi kumfukuza uyo mtu.

Suala la Senzo ni suala tunalijua alikuwa ni muongeaji mzuri ila utendaji wake ulikuwa si mzuri,alikuwa na makando kando mengi ya nje ya uwanja, kuonyesha kuwa halikuwa na mapungufu!!
haliondoka Simba bila hata kukabidhi ofisi na nyaraka muhimu! Gafra anaonekana upande wa pili akisaini mkataba wa kazi huu ni uswahili.

Swedi nkwabi alikuwa ana hoja lakini alishindwa kuadress kwa wanachama walio mchagua!

Umechaguliwa na wanachama unajiuzulu bila kuwaambia sababu ni nini? waliokuchagua huo ni ujinga! Ni sawa na mtu anaeamua kujinyonga chumbani kwa mumewe! bila kueleza sababu za kufanya hivyo na kuacha sintofahamu na kuleta shida kwa mumewe.

Kuhusu Mangungu kuwekwa na nani? sisi hatujui wewe unaejua ndio useme amewekwa na nani? ili utufumbue macho!
Vinginevyo ni utapeli wako wa kucheza na maneno tu! Suala la Mangungu kutokuwa na sauti ni uongo!
Mangungu ni mwakilishi wa wanachama kwenye bodi ya wakurugenzi anayo haki ya kutoa maoni na mawazo ya wanachama kwa uhuru wote,

kama kuna changamoto yeyote kwenye bodi ni vyema arudi kwa wanachama kuwaeleza tatizo ni nini?! Kukaa kimya wakati anaona kuna shida maana yake ni ujinga.

Kutuuliza kuwa hatujui kwa nini wewe ulitolewa!! bila kutuambia wewe ilikuwa nani? na ulikuwa majukumu gani pale Simba SC?! Huo nao ni ujinga wako! Maana hatukujui! Na hatujui kama uliwahi kufanya kazi hapo Simba! Uenda hujawahi kufanya kazi Simba SC bali ni mbwembwe zako za kujipa umuhimu hapa jukwaani!
Mnapaswa kuelewa JF ni jukwaa la ma great thinkers! Japokuwa vishoia wamekuwa wengi! Mnavyoleta mambo yenu muwe mmejipanga watu wenye akili tupo! Msizoe maneno ya mitaani na kuleta uku.
 
Mashabiki ndio mbumbumbu zaid
Kusema mashabiki wa Simba ni mbumbumbu ni kuwakosea heshima! Wewe utakuwa umechanganyikiwa! Kuna kitu unavuta sio bure! Mashabiki wa Simba ndio wanalipa viingilio kwenda kuona timu yao!

Nyie upande wa pili mnaongia bure uwanjani mnavunja mpaka mageti ya taifa ndio mbumbumbu kabisa.

Mtu mzima na akili zako mechi ni saa tatu usiku! Wewe unaingia saa nane mchana ili uwahi kupata siti ya bure!!😆 Na una familia inakutegemea kama baba!! Utopoloni mna shida sana.
 
Haayo maneno ya mbumbumbu alisema mh Aden Rage mbele ya mkutano mkuu wa simba sc na baada ya kusema vile akachaguliwa na ma mbumbumbu awaongoze ...hadi hapo ushajua kwann nyie ni mbumbumbu..
 
Back
Top Bottom