Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Huu umbumbumbu ndio tatizo pale simba ila hamlioni tuWafukuzwe yanga halafu simba wafukuzwe wachezaji woteeeee wacheze mo na timu yake na makocha afadhali mo atatuletea kombe la caf 2024
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu umbumbumbu ndio tatizo pale simba ila hamlioni tuWafukuzwe yanga halafu simba wafukuzwe wachezaji woteeeee wacheze mo na timu yake na makocha afadhali mo atatuletea kombe la caf 2024
Kwa nini hamumsemi babacar sarr?Mo hana shida,hela ya usajili anatoa wanasajiliwa wachezaji toka Tandika na Mwananyamala. Unaondoa Baleke na Phiri unaleta Jobe na Cobra hizo ni akili au makamasi tu? Mangungu na uongozi wote waondoke hakuna mtu wa mpira pale wote wapigaji tu.
Imezamishiwa.Fafanua.....!
Imezama Wapi ili kuiokoa ..?
Upi sasa wa mwenye simba au wachezaji nimeona mie wachezaji ndio hawasikiiiHuu umbumbumbu ndio tatizo pale simba ila hamlioni tu
Kuliko yule wakuzimiawaanze na yule msemaji wao anaongea pumba sana
Mashabiki ndio mbumbumbu zaidiUpi sasa wa mwenye simba au wachezaji nimeona mie wachezaji ndio hawasikiii
Simba is already dead. Kwanza saivi haipaswi kuitwa simba tena, tuiite ngamia chakula ya warabu.Kufuatia kuwa na matokeo yasiyoridhisha hasa katika michezo ya muhimu na migumu, kama huu wa leo, nini kifanyike ili kuinusuru timu yetu pendwa simba sport club?
Kwa upande wangu
1.mo afukuzwe
2.waje wawekezaji wapya
3.uongozi wote tushinikize ujiuzulu, uchaguzi ufanyike upya
4. Mfumo wa mabadiliko ya uendeshaji wa club, urudiwe upya kwani mo na genge lake waliuharibu
5. Tuwadhibu wachezaji kwa kuwa wazembe, mtu unaruka kichwa kama kindama kilichotoka nje, au kama kimbuzi kidogo
6wachezaji wazee wote tupa kule
Simba is already dead. Kwanza saivi haipaswi kuitwa simba tena, tuiite ngamia chakula ya warabu.
Mo si tatizo, ila management ya timu ya akina mangungu na try again, eanaleta wachezaji wa ajabu, practicaly simba haina mchezaji wa maana toka babra aondoke, simba itafute management mpya na iondoe wachezaji ving’ang’aniziKufuatia kuwa na matokeo yasiyoridhisha hasa katika michezo ya muhimu na migumu, kama huu wa leo, nini kifanyike ili kuinusuru timu yetu pendwa simba sport club?
Kwa upande wangu
1.mo afukuzwe
2.waje wawekezaji wapya
3.uongozi wote tushinikize ujiuzulu, uchaguzi ufanyike upya
4. Mfumo wa mabadiliko ya uendeshaji wa club, urudiwe upya kwani mo na genge lake waliuharibu
5. Tuwadhibu wachezaji kwa kuwa wazembe, mtu unaruka kichwa kama kindama kilichotoka nje, au kama kimbuzi kidogo
6wachezaji wazee wote tupa kule
Thank you so much mwana ngamia scKaribu sana Jamii Forum.
HAPA NI HOME OF GREAT THINKERS. SIO MAHALI PA UJINGA NA MIZAHA.
Otherwise .
Long life Jamii Forum
Sikubaliani na mambo mengi yanayotendeka hapo Simba sc ila ulichoandika hapa ni upuuzi mtupu.:Hamumjui Mangungu ni nani pale na Amewekwa na nani.
:Hamjui kwanini Swedi Mkwabi alijiuzuru.
:Hamjui kwanini Akina Senzo walitolewa simba wakaondoka.
:Hamjui seke seke la Akina Haji
Hamjui hata kwanini sisi viagaa tulitolewa pale.
Kusema mashabiki wa Simba ni mbumbumbu ni kuwakosea heshima! Wewe utakuwa umechanganyikiwa! Kuna kitu unavuta sio bure! Mashabiki wa Simba ndio wanalipa viingilio kwenda kuona timu yao!Mashabiki ndio mbumbumbu zaid
Haayo maneno ya mbumbumbu alisema mh Aden Rage mbele ya mkutano mkuu wa simba sc na baada ya kusema vile akachaguliwa na ma mbumbumbu awaongoze ...hadi hapo ushajua kwann nyie ni mbumbumbu..Kusema mashabiki wa Simba ni mbumbumbu ni kuwakosea heshima! Wewe utakuwa umechanganyikiwa! Kuna kitu unavuta sio bure! Mashabiki wa Simba ndio wanalipa viingilio kwenda kuona timu yao!
Nyie upande wa pili mnaongia bure uwanjani mnavunja mpaka mageti ya taifa ndio mbumbumbu kabisa.
Mtu mzima na akili zako mechi ni saa tatu usiku! Wewe unaingia saa nane mchana ili uwahi kupata siti ya bure!!😆 Na una familia inakutegemea kama baba!! Utopoloni mna shida sana.