Nini kifanyike kushinda kesi tunazoshtakiwa katika Mahakama za Kimataifa?

Un
Unaporesha mifumo ya elimu sawa,lakin hii mikataba kwanza ni Siri na pili , mikataba inasukwa kwa njia ya kifisadi. Kuna wahuni ambao hao wazungu wakilipwa na wao wanapata mgao.
 
Hatuwezi kushinda sababu tuliingia kichwa kichwa kwenye mikataba.

Wenzetu wanazingatia hadi coma, na wanajua namna ya kujivua lolote likitokea na namna ya kutukamua tukizingua
Siyo tatizo la mikataba- na hatua zetu za kutaifisha wakati hatuko tayari kulipa fidia
 
Je kuna watu ambao wako vizuri kufanya negotiating,je tuna mawakili ambao wako vizuri wakikaa meza na mawakili wa huko wanawatoa jasho ???

Ova
 
Ni upigaji tu huo mpaka Nchi ifilisike !
 
Watu WEUPE wameshajua matanzania ni majinga.

Ndo maana wanahakikisha Mikataba inasainiwa kisiri Siri.

Kwa sababu wañajuaa, kwenye huo usiri, Serikali itapeleka Wanasheria uchwaraaa walopata kazi Kwa kujipendekezaaa.


Matokeo yake ndo hayo .

Nini kifanyike?.

MIKATABA yote kabla ya kusainiwa, ijadiliwe na werevu Kwa uwazi.. kama Mkataba ni Win-win.. kwann Mabeberu waogope kujadiliwa ?.


Na kama ni Wa Siri, basi SERIKALI ISWE INAONA AIBU KUWACHUKUA WATU KAMA MWABUKUSI, LISSU, N.K WANAOIJUA SHERIA KWA AKILI NA SIO MAKARATASI.
 
Unaongelea kesi zinazokuja au zilizopita?

Kama zinazokuja, point zako zinaweza kuwa na impact, hususan kwenye uwazi na uwajibikaji.

Lakini mikataba iliyopita, mingi sana tunachoweza kufanya ni kupunguza maumivu tu, kushinda kesi kwa mkataba mbovu ambao tushasaini wenyewe ni vigumu sana.

Kuna mkataba kama wa DP World unasema hata kama nchi ikigawanywa vipande, hii Tanzania isiendelee kuwapo (mfano muungano ukivunjika) mkataba utakuwa bado valid.

Na tumekubali kipengele hicho.

Sasa mkataba kama huo unauvunja vipi bila kupigwa faini kubwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…