Nini kifanyike kuwajengea uwezo wanasiasa waandamizi wa Tanzania waweze kujieleza kwenye Vyombo vya Habari?

Kun watatu hapo umewaweka tu kuleta uwiano ila hakuna kitu kabisa.. Hasa hiyo number....😂
 
Tumeshajikwaa sasa kilichobaki ni kuwekeza katika elimu na hawa wachache waliopo sasa waishi katika falsafa itakayowavutia kizazi kipya ili kuzalisha kina Mwl. Nyerere, Nelson Mandela,Kwame Nkurumah na Kina Samora Machel wa kizazi cha baadae
 
Kuna qatari hapo umewaweka tu kuleta uwiano ila hakuna kitu kabisa
Sema tu namba moja... Mi sijawahi kuelewa hoja zake. Hasa akiwa kimataifa!
🙌🏿🙌🏿🏃🏿🏃🏿🏃🏿
 
Taifa linahitaji watendaji.madhubuti na sio wanaojua kujieleza wengi!

Maelezo hayajawahi kutupa maendeleo wala kupambana dhidi ya umaskini!

Tunataka maneno machache TU yenye tija na utendaji.uliotukukuka basi!

UJINGA WA WATZ WENZANGU BADO WAMEWEKEZA KWENYE MANENO MAZURI NA HOTUBA NZURI KWA SANA BADALA YA UTENDAJI!

BORA TUPATE RAIS BUBU LAKINI ANATENDA YANAYOELEWEKA NA YENYE TIJA KULIKO KUWA NA WANAOELEWEKA KWENYE HADHARA HALAFU MATATIZO NI YALE YALE UMASKINI,WIZI,UBADHIRIFU WA MALI ZA UMMA ,UPIGA DEAL N.K!!!

TUACHE HUU UJINGA NA IMANI ZA KIJINGA!
 
Maneno kidogo mambo makubwa
 
Kwamba Samia anaweza jieleza
 
Safi babdiko zuri kabisa, hongera. Hapo swala la muhimu cha kufanyika

1. Ni kuepuka kupeana vyeo kwa kujuana kuwa huyu ni mtoto wa wa rafiki ndugu au jamaa wa karibu tuzingatie uwezo binafsi

2. Kuandaliwa kwao kupata nafasi ya kuwa kiongozi wasiangalie seniority sio kila mtu ni anafaa kuwa kiongozi wengine wabakie kuwa washauri ndani ya vyama vyao wanavyovitumikia i.e kuhama kwa wanasiasa wanapokosa nafasi fulani kwenye chama chao

3.ujengwaji wa hoja bomba inategemea na aina ya regime iliyopo madarakani mfano democrasia, au dictatorial ikiwa dicteta basi hujikita kwenye maswala ya kusifia tu.

4. Elimu. Taifa la ajabu sana hili imagine mbunge kama msukuma darasa la saba anapelekwa kwenye chombo kikubwa cha maamuzi katika nchi akabishane na akina tulia ackson kupitisha dp world halafu haludi ajenge hoja kwa ya kusimuliwa. Kigezo cha kuwa mbunge at list kipande ngazi mpaka diploma udiwani cheti na uenyekiti form four.

4. Miundo mbinu bora ya uwazi na uwajibikaji. Taarifa za wazi kwa vyombo vya habari mostly media zina pangiwa cha kuripoti na sio cha kuripoti mtu anapotaka kujikita ujengaji hoja za msingi kupitia chombo fulan ni either anyimwe kipindi au afanye ki editewe


Kwa leo yangu ni hayo machache
 
Aaah mkuu acha udini mkuu
 
Hakuna hotuba nzuri na pia hakuna utendaji wa kueleweka
 
Hili ni KOSA kubwa sana Mayalla unalifanya kama expert na mwandishi mwenye weledi sana.

When you say hakuna mbadala wa CCM , what do you mean exact ? It is fear and cognitive dissonance that have been made to most of Tanzanians . I did not expect this from you , Pascal

JPM
aliweza kuwa Rais , Kama Samia pia ameweza kuwa Rais , why hakuna mbadala wa CCM …????

….please that is a disease , it is time now to end

! Unataka kuniambia Samia ni muadilifu and Intellectuel than Lissu? Mbowe? Zitto? Hashim Rungwe? Au unataka kuniambia JPM alikuwa mwadilifu and intellectual than Lissu Mbowe Hashim, ZZK etc etc ? Kama jibu ni NO , what makes you say hakuna mbadala wa CCM , did you ever expected tunaweza kuja kuwa na Rais Kama Samia?

Now she is the President of URT Despite of many denials !

Any body can be any body , the county is not for CCM. Lissu can make a better presidency , same to Mbowe and ZZK etc etc . Tuache hii dhambi ya hakuna mbadala wa CCM ni cognitive dissonance mbaya na ni Sawa na wale wanaoamini the only way to heaven is through Jesus, others are misguided ….. shame !!


Mayalla, there is no time itafika tuje kusema sasa tuna watu sahihi wa kuitoa CCM , hao watu will never last , watakufa before their time comes, CCM ni distractors . Upinzani sahihi wa kuitoa CCM upo sahihi hivi, Lissu can be a president, Mbowe, Hashim all of them, they can be , !! Why you think the opposite .?

Kama sio dhulma ya CCM, Lowasa would have died as president of URT ! Nchi sio ya CCM and any body can be any body for as long as ana qualifications.

CCM has proven failures over 60 years , Over 60 Years still a country ipo kama dump, jalala! yet unasema hakuna mbadala wa CCM? Are you serious !

Unlese you meant hakuna mbadala wa kuharibu nchi kama CCM , otherwise….. I am out . Kazi ya mwandishi ni kutoa elimu kwa jamii katika ukweli na sio kuwa chawa, that’s not the way to talk

Who killed Ali Mohammed Kibao? I think you are right when you say hatuna mbadala wa CCM! the country will never forget this political party , ni adui mkubwa wa maendeleo ya Tanzania. Lissu would have been a dead body now , ni kweli hatuna mbadala wa CCM !

all best Mayala!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…