Kauli huumba!, hii kauli ni ya ku curse nchi yako!. Kwa vile Tanzania bado hatuna mbadala wa CCM, then kilichopo ndio hii hii CCM iliyopo tuitolee kauli njema za kujenga, positive attitude ili hizo kauli ziiumbie mema CCM nchi ifanikiwe badala ya kutoa kauli za laana!.
Mambo ya matumbo ni mambo ya morphology, makabila ya wafugaji wanaume wao wana lean bodies Wanawake wao wana big butt, wanaume wengi bantustan wana vitambi, Wanawake wengi
Afrika wana bulky bodies wakati wazungu ni vimbaumbau, hakuna directly relationships or correlation ya body mass index na intellect, unatuonea bure!.
Hongera kwa kukimbia na kulowea huko ughaibuni, tuko akina sisi, pia tulikimbia nchi lakini uzalendo ukatutuma turudi nyumbani kuisaidia nchi yetu, wife aligoma hivyo family iko ughaibuni lakini Wazalendo tupo kuisaidia nchi yetu.
Badala ya kuilaani na kuitukana nchi yako tusi la f...k. inenee mema ibarikiwe na wewe utabarikiwa!. Usiwe
Angalizo kwa Wana JF: Tuwaepuke "Prophets Of The Doom", kauli zao huumba!
P
Hili ni KOSA kubwa sana Mayalla unalifanya kama expert na mwandishi mwenye weledi sana.
When you say hakuna mbadala wa CCM , what do you mean exact ? It is fear and cognitive dissonance that have been made to most of Tanzanians . I did not expect this from you , Pascal
JPM
aliweza kuwa Rais , Kama Samia pia ameweza kuwa Rais , why hakuna mbadala wa CCM …????
….please that is a disease , it is time now to end
! Unataka kuniambia Samia ni muadilifu and Intellectuel than Lissu? Mbowe? Zitto? Hashim Rungwe? Au unataka kuniambia JPM alikuwa mwadilifu and intellectual than Lissu Mbowe Hashim, ZZK etc etc ? Kama jibu ni NO , what makes you say hakuna mbadala wa CCM , did you ever expected tunaweza kuja kuwa na Rais Kama Samia?
Now she is the President of URT Despite of many denials !
Any body can be any body , the county is not for CCM. Lissu can make a better presidency , same to Mbowe and ZZK etc etc . Tuache hii dhambi ya hakuna mbadala wa CCM ni cognitive dissonance mbaya na ni Sawa na wale wanaoamini the only way to heaven is through Jesus, others are misguided ….. shame !!
Mayalla, there is no time itafika tuje kusema sasa tuna watu sahihi wa kuitoa CCM , hao watu will never last , watakufa before their time comes, CCM ni distractors . Upinzani sahihi wa kuitoa CCM upo sahihi hivi, Lissu can be a president, Mbowe, Hashim all of them, they can be , !! Why you think the opposite .?
Kama sio dhulma ya CCM, Lowasa would have died as president of URT ! Nchi sio ya CCM and any body can be any body for as long as ana qualifications.
CCM has proven failures over 60 years , Over 60 Years still a country ipo kama dump, jalala! yet unasema hakuna mbadala wa CCM? Are you serious !
Unlese you meant hakuna mbadala wa kuharibu nchi kama CCM , otherwise….. I am out . Kazi ya mwandishi ni kutoa elimu kwa jamii katika ukweli na sio kuwa chawa, that’s not the way to talk
Who killed Ali Mohammed Kibao? I think you are right when you say hatuna mbadala wa CCM! the country will never forget this political party , ni adui mkubwa wa maendeleo ya Tanzania. Lissu would have been a dead body now , ni kweli hatuna mbadala wa CCM !
all best Mayala!