Nini kifanyike kuwajengea uwezo wanasiasa waandamizi wa Tanzania waweze kujieleza kwenye Vyombo vya Habari?

Resilience

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2023
Posts
1,096
Reaction score
4,948
Nimefuatilia mahojiano mbalimbali kwa miaka ya hivi karibuni ya vyombo vya ndani ya nchi na nje ya nchi. Nilichobaini Taifa lina wanasiasa wasiofika ishirini ambao wanaweza kutofautisha mahojiano maalumu na uwasilishaji wa hoja kwenye majukwaa ya kisiasa.

Katika ngazi za vyombo vya habari vya magharibi na vya Dunia tunao wanasiasa waandamizi wafuatao wanaoweza kujieleza na dunia ya wasomi ikachambua hoja zao. Naomba nitaje wachache:

1. Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan
2. Mhe. Tundu Lissu
3. Mhe. Zitto Kabwe
4. Mhe. January Makamba
5. Mhe. Freeman Mbowe
6. Mhe. Emmanuel Nchimbi
7. Mhe. James Mbatia

Nimewataja hawa baadhi kwa kuwa wamewahi kwa vipindi tofauti kupata nafasi na kuhojiwa kwenye vyombo vikubwa vya kimataifa katika kipindi ambacho Taifa linapitia wakati mgumu na linahitaji dira na mawazo yasiyoendana na hotuba za majukwa ya siasa. Naweza nikawa nimewasahau baadhi lakini mifano hii itoshe kuonyesha nawalenga watu wa kariba gani.

Kitaifa hao niliowataja hapo wote wana uwezo mkubwa wakujenga hoja bila kushambulia personalities. Sambamba na hao wapo viongozi kama Mhe. Mwinyi, PM, Makamu wa Pili wa Rais, Halima Madee, Mnyika, Kabudi, Mtaka, Mtanda, Wenye, Heche, Pambalu, Mhe. Biteko NK

Kwa idadi hii utabaini tunao watu wachache wanaofanya vizuri kimatiafa, tunao wachache pia wanaofanya vyema kwenye public speaking ndani na tuna kundi kubwa la viongozi wasioweza kutenganisha mahojiano maalumu na mkutano wa adhara.

Hali hii ipo tofauti sana na kipindi wakina Warioba na wazee wa umri wake wakiwa wanakabidhiwa madaraka. Kwanza walikuwa hawana exposure, shule haikuwa kubwa sana vichwani mwao lakini waliweza kusimama kwenye majukwaa ya ndani na nje ya nchi.

Wazee wa umri wa akina Butiku wakihojiwa leo vijana watazana kwenye TV na wakienda kwenye majukwaa ya kisiasa wananchi watanyamaza kuwasikiliza. Tuambieni leo hii viongozi gani waliochini ya 60 yrs ambao wanaweza kumudu mahojiano serious ya kimataifa na wakaweza kumudu jukwaa la siasa wananchi wakatulia kusikiliza hoja.

Kutokana na kushuka kwa capacity ya kujenga hoja nchini , vyama vyote vimewekeza nguvu kwa comedian, wanamziki na wasanii. Jukwaani wanakaa wasanii muda mrefu then wanasiasa ambao ndio wenye jukwaa wanaishia kupanda kusema oyeeeeeeeeee, safiiiiiiiiii, bomba si bombaaaaa, mtanipaaaaaa.

Tufanye nini tupate wakina Mkapa, Butiku, Warioba, Salim, Shivji, Hassard wengi?
 
Unachozungumza kinaanzia kwenye ubongo content.

Hivyo ubongo unauwezo gani, na pia umelishwa elimu sahihi kwenye makuzi.

Ndio kusema sasa hivi tuna viongozi wengi ambao hawana content iliyosababishwa na elimu, na zaidi wenye elimu duni na maarifa madogo wengi wameingia kwenye uongozi/siasa.
 
..katika orodha ya wanasiasa wanaoweza kujieleza, na kujenga hoja, muondoe Samia Suluhu.

..tatizo lake linaanza na ukweli kwamba, sio mtu anayejisomea sana, au kutafuta maarifa nje ya majukumu yake.
I'd like to differ, hapa umechanganya vitu viwili tofauti,
1. Uwezo wa kujieleza
2. Uwezo wa intellect

Kwenye uwezo wa kujieleza kwa ufasaha Rais Samia is excellent, mimi mwenyewe nimefanya nae mahojiano mara mbili
Kwanza akiwa Waziri Ofisi ya Makamo wa Rais Muungano na mara ya pili akiwa Makamo Mwenyekiti Bunge la Katiba, mahojiano yote mawili ni more than one hour nikatengeneza vipindi vya TV vya 30 min . She is good kwa kujieleza.

Akiwa VP nimeangalia vipindi vyake viwili vya mahojiano na nikavileta humu
1. Siku ya Wanawake Duniani: VP Samia Suluhu: "Womanly, Genuine, Humble, Simple na Down To Earth!”
2. "Watu waachwe Huru kuujadili Muungano"- VP, Samia Suluhu Hassan. Huyu mama anaongea vizuri kwa Unyenyekevu mpaka raha. Huchoki kumsikiliza

Tukija kwenye intellect hapa ndio kwenye issue kidogo kwasababu ya wide intellect gap kati yake na mtangulizi wake, ila mtu kuwa kiongozi mzuri sio lazima uwe very bright and brilliant kama Nyerere, Mkapa na Magufuli, Mwinyi na JK were very average people na walikuwa viongozi wazuri tuu, so does Samia, she is average ana nafasi to be good kama atakuwa na wasaidizi good, bright and brilliant kama hawa Asante Rais Samia Kumteua Prof. Assad, ni Mkweli, Atakusaidia Sana Kukuambia Ukweli, Tatizo Viongozi Wengi Hawapendi Kuambiwa Ukweli, Je Uko Tayari?. na hawa Asante Rais Samia Kutuletea Prof. Kabudi Pale Sheria, Ni Best Brain, High IQ.na Bingwa wa Katiba. Je Atakuwa Mkweli Ubatili wa Katiba na Sheria au?. na Uteuzi wa Prof Kabudi Mara ya 3 Sheria, Japo Umefanywa na Binadamu tuu, Una Roho wa Mungu!. Je Prof Kabudi Atatimiza Mapenzi ya Mungu au ya Binadamu?

Hivyo kwenye mikutano kama Davos anakwenda VP Dr. Mpango, vipindi kama BBC Hard Talk anawaachia kina Kabudi.
P
 
Nimefuatilia mahojiano mbalimbali kwa miaka ya hivi karibuni ya vyombo vya ndani ya nchi na nje ya nchi. Nilichobaini Taifa lina wanasiasa wasiofika ishirini ambao wanaweza kutofautisha mahojiano maalumu na uwasilishaji wa hoja kwenye majukwaa ya kisiasa.
Naunga mkono hoja kuna tofauti kati ya kujieleza kwenye majukwaa ya siasa na kujieleza kwenye media interviews, wanasiasa wengi ni wazuri majukwaani tuu lakini wakiingia studio kwenye media interviews utawahurumia haswa wakikutana na waandishi wazuri wa kuhoji serious issues, most media zetu wanahoji leading questions na maswali laini laini na siku hizi maswali ya kichawa chawa!.
Katika ngazi za vyombo vya habari vya magharibi na vya Dunia tunao wanasiasa waandamizi wafuatao wanaoweza kujieleza na dunia ya wasomi ikachambua hoja zao. Naomba nitaje wachache
1. Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan
2. Mhe. Tundu Lisu
3. Mhe. Zito Kabwe
4. Mhe. January Makamba
5. Mhe. Freeman Mbowe
6. Mhe. Emmanuel nchimbi
7. Mhe. James Mbatia

Nimewataja hawa baadhi kwa kuwa wamewahi kwa vipindi tofauti kupata nafasi na kuhojiwa kwenye vyombo vikubwa vya kimataifa katika kipindi ambacho Taifa linapitia wakati mgumu na linahitaji dira na mawazo yasiyoendana na hotuba za majukwa ya siasa. Naweza nikawa nimewasahau baadhi lakini mifano hii itoshe kuonyesha nawalenga watu wa kariba gani.
Hapa naomba niheshimu tuu mawazo yako ila number moja sio Rais Samia, unless kama umemtanguliza kwa PR tuu au ki sikuhizi ki uchawa!.
Kitaifa hao niliowataja hapo wote wana uwezo mkubwa wakujenga hoja bila kushambulia personalities. Sambamba na hao wapo viongozi kama Mhe. Mwinyi, PM, Makamu wa Pili wa Rais, Halima Madee, Mnyika, Kabudi, Mtaka, Mtanda, Wenye, Heche, Pambalu, Mhe. Biteko NK
Naunga mkono hoja
Kwa idadi hii utabaini tunao watu wachache wanaofanya vizuri kimatiafa, tunao wachache pia wanaofanya vyema kwenye public speaking ndani na tuna kundi kubwa la viongozi wasioweza kutenganisha mahojiano maalumu na mkutano wa adhara.
Ni kweli
Hali hii ipo tofauti sana na kipindi wakina Warioba na wazee wa umri wake wakiwa wanakabidhiwa madaraka. Kwanza walikuwa hawana exposure, shule haikuwa kubwa sana vichwani mwao lakini waliweza kusimama kwenye majukwaa ya ndani na nje ya nchi.

Wazee wa umri wa akina Butiku wakihojiwa leo vijana watazana kwenye TV na wakienda kwenye majukwaa ya kisiasa wananchi watanyamaza kuwasikiliza. Tuambieni leo hii viongozi gani waliochini ya 60 yrs ambao wanaweza kumudu mahojiano serious ya kimataifa na wakaweza kumudu jukwaa la siasa wananchi wakatulia kusikiliza hoja.
Naunga mkono hoja
Kutokana na kushuka kwa capacity ya kujenga hoja nchini , vyama vyote vimewekeza nguvu kwa comedian, wanamziki na wasanii. Jukwaani wanakaa wasanii muda mrefu then wanasiasa ambao ndio wenye jukwaa wanaishia kupanda kusema oyeeeeeeeeee, safiiiiiiiiii, bomba si bombaaaaa, mtanipaaaaaa.
True
Tufanye nini tupate wakina Mkapa, Butiku, Warioba, Salim, Shivji, Hassard wengi?
Kitu cha kwanza ni tupate free media, yaani independent media yenye uhuru

Pili tupate waandishi wa habari na watangazaji bold wenye uwezo wa kuuliza maswali magumu ya type ya kitimoto.

Tatu viongozi wetu wawe tayari kuhojiwa maswali magumu.

P
 
I'd like to differ, hapa umechanganya vitu viwili tofauti,
1. Uwezo wa kujieleza
2. Uwezo wa intellect

Kwenye uwezo wa kujieleza kwa ufasaha Rais Samia is excellent, mimi mwenyewe nimefanya nae mahojiano mara mbili
Kwanza akiwa Waziri Ofisi ya Makamo wa Rais Muungano na mara ya pili akiwa Makamo Mwenyekiti Bunge la Katiba, mahojiano yote mawili ni more than one hour nikatengeneza vipindi vya TV vya 30 min . She is good kwa kujieleza.

Akiwa VP nimeangalia vipindi vyake viwili vya mahojiano na nikavileta humu
1. Siku ya Wanawake Duniani: VP Samia Suluhu: "Womanly, Genuine, Humble, Simple na Down To Earth!”
2. "Watu waachwe Huru kuujadili Muungano"- VP, Samia Suluhu Hassan. Huyu mama anaongea vizuri kwa Unyenyekevu mpaka raha. Huchoki kumsikiliza

Tukija kwenye intellect hapa ndio kwenye issue kidogo kwasababu ya wide intellect gap kati yake na mtangulizi wake, ila mtu kuwa kiongozi mzuri sio lazima uwe very bright and brilliant kama Nyerere, Mkapa na Magufuli, Mwinyi na JK were very average people na walikuwa viongozi wazuri tuu, so does Samia, she is average ana nafasi to be good kama atakuwa na wasaidizi good, bright and brilliant kama hawa Asante Rais Samia Kumteua Prof. Assad, ni Mkweli, Atakusaidia Sana Kukuambia Ukweli, Tatizo Viongozi Wengi Hawapendi Kuambiwa Ukweli, Je Uko Tayari?. na hawa Asante Rais Samia Kutuletea Prof. Kabudi Pale Sheria, Ni Best Brain, High IQ.na Bingwa wa Katiba. Je Atakuwa Mkweli Ubatili wa Katiba na Sheria au?. na Uteuzi wa Prof Kabudi Mara ya 3 Sheria, Japo Umefanywa na Binadamu tuu, Una Roho wa Mungu!. Je Prof Kabudi Atatimiza Mapenzi ya Mungu au ya Binadamu?

Hivyo kwenye mikutano kama Davos anakwenda VP Dr. Mpango, vipindi kama BBC Hard Talk anawaachia kina Kabudi.
P
Samia ni mzuri wa MIPASHO. Pascal huwezi kutofautisha uwezo wa intellectual na public speaking…. Vinaendana.

Obama is good orator but also he is intellectual. Mkapa was good orator but also intellectual.

Wapo walio intellectual but wana Barries kwenye language…. Kutokana na mfumo wa lugha mama.

Tatizo kubwa kwa Tanzania mfumo wa kumpata kiongozi mkuu ni wa kihuni na ujanja, hivi Samia unaweza kumpeleka kwenye yule wa hard talk ambae Lissu alishahojiwa. ?

hizo speech zake za kuandaliwa, … Kisha yeye kuzikariri na kusoma…..mpelekeni kule kwa hard talk ,,,,,kule ndio mtajua intelligence yake.

Kagame is intellectual and public speaker . JK is a good Lerner na alijua madhaifu yake na ndio maana anapenda kusoma na books. Samia is neither intellectual nor Orator. Siasa za Tanzania ukijua mipasho na uongo uongo inatosha. Ndio maana tunaaibika sana hawa jamaa wakienda kwenye international meetings

Shame
 
Naunga mkono hoja kuna tofauti kati ya kujieleza kwenye majukwaa ya siasa na kujieleza kwenye media interviews, wanasiasa wengi ni wazuri majukwaani tuu lakini wakiingia studio kwenye media interviews utawahurumia haswa wakikutana na waandishi wazuri wa kuhoji serious issues, most media zetu wanahoji leading questions na maswali laini laini na siku hizi maswali ya kichawa chawa!.

Hapa naomba niheshimu tuu mawazo yako ila number moja sio Rais Samia, unless kama umemtanguliza kwa PR tuu au ki sikuhizi ki uchawa!.

Naunga mkono hoja

Ni kweli

Naunga mkono hoja

True

Kitu cha kwanza ni tupate free media, yaani independent media yenye uhuru

Pili tupate waandishi wa habari na watangazaji bold wenye uwezo wa kuuliza maswali magumu ya type ya kitimoto.

Tatu viongozi wetu wawe tayari kuhojiwa maswali magumu.

P
Waacheni viongozi wa Tanzania wabaki jinsi walivyo … ndio wapo hivyo….. sikiliza hata kampeni zao …..utagungua Chini ya CCM tanzania inaongozwa na failures and under CCM The country will remain poor forever …..Under CCM , njia haitoi.

Angalia matumbo ya viongozi wote wa CCM, na angalia matumbo ya viongozi wa Rwanda where kuna kiongozi ambae ni intellectual…. Lkn pia check matumbo ya viongozi wa USA au Canada or other developed countries

Utaelewa what I mean

Tanzania is rotten, na hakuna maisha Tanzania . I am proud niliona mbali na kukimbia , over 60 years , utasema tumepata uhuru jana .

F”””””””””K
 
Kauli huumba!, hii kauli ni ya ku curse nchi yako!. Kwa vile Tanzania bado hatuna mbadala wa CCM, then kilichopo ndio hii hii CCM iliyopo tuitolee kauli njema za kujenga, positive attitude ili hizo kauli ziiumbie mema CCM nchi ifanikiwe badala ya kutoa kauli za laana!.
Angalia matumbo ya viongozi wote wa CCM, na angalia matumbo ya viongozi wa Rwanda where kuna kiongozi ambae ni intellectual…. Lkn pia check matumbo ya viongozi wa USA au Canada or other developed countries

Utaelewa what I mean
Mambo ya matumbo ni mambo ya morphology, makabila ya wafugaji wanaume wao wana lean bodies Wanawake wao wana big butt, wanaume wengi bantustan wana vitambi, Wanawake wengi
Afrika wana bulky bodies wakati wazungu ni vimbaumbau, hakuna directly relationships or correlation ya body mass index na intellect, unatuonea bure!.
Tanzania is rotten, na hakuna maisha Tanzania . I am proud niliona mbali na kukimbia , over 60 years , utasema tumepata uhuru jana .

F”””””””””K
Hongera kwa kukimbia na kulowea huko ughaibuni, tuko akina sisi, pia tulikimbia nchi lakini uzalendo ukatutuma turudi nyumbani kuisaidia nchi yetu, wife aligoma hivyo family iko ughaibuni lakini Wazalendo tupo kuisaidia nchi yetu.
Badala ya kuilaani na kuitukana nchi yako tusi la f...k. inenee mema ibarikiwe na wewe utabarikiwa!. Usiwe Angalizo kwa Wana JF: Tuwaepuke "Prophets Of The Doom", kauli zao huumba!
P
 
Wahenga walisema asiyejua hili basi ajua lile hao hao narudia hao hao unaowaona hawawezi kujenga hoja waambie waanze kumsifia mama na kumpamba wallah bilah watalah hutaamini macho yako kwamba ndio hawa wasiojua kujieleza🤣🤣
 
Mtafuteni balozi Kagasheki awape somo yule mzee amenyoka sana sema basi ni siasa za maji taka za Nchi hii hazitaki viongozi wenye uwezo wakuona mbali.
 
Unachozungumza kinaanzia kwenye ubongo content ..
Hivyo ubongo unauwezo gani, na pia umelishwa elimu sahihi kwenye makuzi.
Ndio kusema sasa hivi tuna viongozi wengi ambao hawana content iliyosababishwa na elimu, na zaidi wenye elimu duni na maarifa madogo wengi wameingia kwenye uongozi/siasa.
Sass mtu km msukuma ana zero public speaking
 
I'd like to differ, hapa umechanganya vitu viwili tofauti,
1. Uwezo wa kujieleza
2. Uwezo wa intellect

Kwenye uwezo wa kujieleza kwa ufasaha Rais Samia is excellent, mimi mwenyewe nimefanya nae mahojiano mara mbili
Kwanza akiwa Waziri Ofisi ya Makamo wa Rais Muungano na mara ya pili akiwa Makamo Mwenyekiti Bunge la Katiba, mahojiano yote mawili ni more than one hour nikatengeneza vipindi vya TV vya 30 min . She is good kwa kujieleza.

Akiwa VP nimeangalia vipindi vyake viwili vya mahojiano na nikavileta humu
1. Siku ya Wanawake Duniani: VP Samia Suluhu: "Womanly, Genuine, Humble, Simple na Down To Earth!”
2. "Watu waachwe Huru kuujadili Muungano"- VP, Samia Suluhu Hassan. Huyu mama anaongea vizuri kwa Unyenyekevu mpaka raha. Huchoki kumsikiliza

Tukija kwenye intellect hapa ndio kwenye issue kidogo kwasababu ya wide intellect gap kati yake na mtangulizi wake, ila mtu kuwa kiongozi mzuri sio lazima uwe very bright and brilliant kama Nyerere, Mkapa na Magufuli, Mwinyi na JK were very average people na walikuwa viongozi wazuri tuu, so does Samia, she is average ana nafasi to be good kama atakuwa na wasaidizi good, bright and brilliant kama hawa Asante Rais Samia Kumteua Prof. Assad, ni Mkweli, Atakusaidia Sana Kukuambia Ukweli, Tatizo Viongozi Wengi Hawapendi Kuambiwa Ukweli, Je Uko Tayari?. na hawa Asante Rais Samia Kutuletea Prof. Kabudi Pale Sheria, Ni Best Brain, High IQ.na Bingwa wa Katiba. Je Atakuwa Mkweli Ubatili wa Katiba na Sheria au?. na Uteuzi wa Prof Kabudi Mara ya 3 Sheria, Japo Umefanywa na Binadamu tuu, Una Roho wa Mungu!. Je Prof Kabudi Atatimiza Mapenzi ya Mungu au ya Binadamu?

Hivyo kwenye mikutano kama Davos anakwenda VP Dr. Mpango, vipindi kama BBC Hard Talk anawaachia kina Kabudi.
P
P, nawe umechanganya mambo, umetumia nguvu nyingi za utetezi, ni nani kasema Samia ni kiongozi mbaya? Au haujaelewa swali? Na kwa nini umeongelea Samia tu?
 
Watu tunatofautiana sana uelewa, hii sio mada ya kuzungumzia uzuri au ubaya wa kiongozi, hapa tunazungumzia uwezo wa kujieleza na intellect ya kujibu hoja nzito, Rais Samia anaweza kujieleza vizuri sana na kwa ufasaha ila kwenye issues zinazohitaji intellect ya juu kama issues za katiba, Rais Samia lazima asaidiwe! na kiukweli tunamsaidia sana tuu
,- Rais Samia, sio malaika ni binadamu anaweza kukosea. Tusimlaumu, kumshutumu na kumponda kwa makosa ya kukoseshwa. Tumvumilie tumpe muda

Sababu ya why Rais Samia, kwasababu ndie amewekwa number moja kwenye hoja hii..
P
 
Unachozungumza kinaanzia kwenye ubongo content ..
Hivyo ubongo unauwezo gani, na pia umelishwa elimu sahihi kwenye makuzi.
Ndio kusema sasa hivi tuna viongozi wengi ambao hawana content iliyosababishwa na elimu, na zaidi wenye elimu duni na maarifa madogo wengi wameingia kwenye uongozi/siasa.
Kama ASHURA ndio HOVYO KABISA.
 
I'd like to differ, hapa umechanganya vitu viwili tofauti,
1. Uwezo wa kujieleza
2. Uwezo wa intellect

Kwenye uwezo wa kujieleza kwa ufasaha Rais Samia is excellent, mimi mwenyewe nimefanya nae mahojiano mara mbili
Kwanza akiwa Waziri Ofisi ya Makamo wa Rais Muungano na mara ya pili akiwa Makamo Mwenyekiti Bunge la Katiba, mahojiano yote mawili ni more than one hour nikatengeneza vipindi vya TV vya 30 min . She is good kwa kujieleza.

Akiwa VP nimeangalia vipindi vyake viwili vya mahojiano na nikavileta humu
1. Siku ya Wanawake Duniani: VP Samia Suluhu: "Womanly, Genuine, Humble, Simple na Down To Earth!”
2. "Watu waachwe Huru kuujadili Muungano"- VP, Samia Suluhu Hassan. Huyu mama anaongea vizuri kwa Unyenyekevu mpaka raha. Huchoki kumsikiliza

Tukija kwenye intellect hapa ndio kwenye issue kidogo kwasababu ya wide intellect gap kati yake na mtangulizi wake, ila mtu kuwa kiongozi mzuri sio lazima uwe very bright and brilliant kama Nyerere, Mkapa na Magufuli, Mwinyi na JK were very average people na walikuwa viongozi wazuri tuu, so does Samia, she is average ana nafasi to be good kama atakuwa na wasaidizi good, bright and brilliant kama hawa Asante Rais Samia Kumteua Prof. Assad, ni Mkweli, Atakusaidia Sana Kukuambia Ukweli, Tatizo Viongozi Wengi Hawapendi Kuambiwa Ukweli, Je Uko Tayari?. na hawa Asante Rais Samia Kutuletea Prof. Kabudi Pale Sheria, Ni Best Brain, High IQ.na Bingwa wa Katiba. Je Atakuwa Mkweli Ubatili wa Katiba na Sheria au?. na Uteuzi wa Prof Kabudi Mara ya 3 Sheria, Japo Umefanywa na Binadamu tuu, Una Roho wa Mungu!. Je Prof Kabudi Atatimiza Mapenzi ya Mungu au ya Binadamu?

Hivyo kwenye mikutano kama Davos anakwenda VP Dr. Mpango, vipindi kama BBC Hard Talk anawaachia kina Kabudi.
P
Mkuu kwa nini Mwinyi, Kikwete na Samia wawe Average ili hali ndio wamekuwa shocks absorbers wa machungu ya watanzania!! Au maana yako ya intellect ni viongozi wakikristo wanao leta maumivu kwa wananchi??? Common Pascal!!
 
Mkuu hao viongozi unaosema ni intellectual wameleta mageuzi gani nafuu ya Katiba kwa wananchi???

Mageuzi ya maltipartism na mabadiliko ya kiuchumi kaleta Mwinyi.

Uthubutu wa marekebisho ya katiba yalifanyika kipindi cha Kikwete na uhuru wa demokrasia umeonekana tena kipindi cha Samia baada ya kibano cha Magufuli.

Wewe mwenyewe kipindi cha Magufuli ulibanwa kama mjusi, na hujawahi kutuambia uliambiwa nini!!!

Na hao wote watatu (Mwinyi, Kikwete na Samia) umesema sio intellectual!! Au kwa sababu wao ni waisalamu???

Acha hizo bro!!!
 
Back
Top Bottom