Nini kifanyike kwa utekaji wa watoto mashuleni maana ishakuwa ni changamoto?

Nini kifanyike kwa utekaji wa watoto mashuleni maana ishakuwa ni changamoto?

THE BEEKEEPER

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2024
Posts
1,462
Reaction score
7,157
Ndugu watanzani.

Maoni yenu.

Kikubwa nikuhakikisha kila mmoja wetu kuwa mzazi ukiona kitendo cha kutilia shaka Amka uchunguze usije kusema niliona kabeba gunia nikajua kabeba mzigo kumbe mtoto nooooo ukiona namna uelewi fatilia uelewe utoe msaada
 
Aisee nimeona leo hali ni mbaya sana sanaaa watoto wanapotea katika mazingira ya kutatanisha sana ,inahusishwa na mambo ya uchaguzi
 
Huko Kigamboni ni lawama kila kukicha watoto wanapotea sana... nimesikia wanataka kusitisha shughuli za baadhi ya shule.
 
Wananchi waweke doria ya chini kwa chini kuwatega hao watekaji ,watangulize chambo nina hakika watawadaka tu.

Kuna kipindi maeneo flani kulikuwa na uibaji wa pikipiki sana ,wezi wanawapiga bodaboda na kuwajeruhi au kuwaua na kuchukua pikipiki....Wananchi wa huko wakaandaa mtego wezi wakajichanganya wakakodisha bodaboda walivyofika mbele wakataka kumwibia jamaa pikipiki kumbe sehemu yote hiyo kulikuwa na majita wamewawekea mingo wakapiga UKUNGA nyomi ikajaa ghafla wezi wawili wakakimbia mmoja wakamtight wakamvisha tyre wakamchoma moto....baada ya hapo wizi wa pikipiki maeneo hayo ukaisha.
 
Back
Top Bottom