Wananchi waweke doria ya chini kwa chini kuwatega hao watekaji ,watangulize chambo nina hakika watawadaka tu.
Kuna kipindi maeneo flani kulikuwa na uibaji wa pikipiki sana ,wezi wanawapiga bodaboda na kuwajeruhi au kuwaua na kuchukua pikipiki....Wananchi wa huko wakaandaa mtego wezi wakajichanganya wakakodisha bodaboda walivyofika mbele wakataka kumwibia jamaa pikipiki kumbe sehemu yote hiyo kulikuwa na majita wamewawekea mingo wakapiga UKUNGA nyomi ikajaa ghafla wezi wawili wakakimbia mmoja wakamtight wakamvisha tyre wakamchoma moto....baada ya hapo wizi wa pikipiki maeneo hayo ukaisha.