Nini kifanyike kwenye bongo fleva ya Sasa?

WCB wamealibu bongo fleva Zuchu anapewa airtime ambayo hastahili nyimbo zake hazieleweki ndani na nje ya mipaka the same kwa dimond kuna baadhi ya nyimbo ni matusi tu sema jina linambeba.

Ukija kwenye Singeli ni matusi tupu alafu ma godfather wa bongo fleva wamewekwa kando yani kama saizi master j ilibidi awe na lebal kubwa ya kukuza wasanii the same tu majani pia, yani ilibidi leo hii wawe ma bilionea kupitia mziki wa bongo.
 
Sasa hapo kwa masta j kosa la nani..
Yeye.
Capital
Au sisi wananchi...?
 
Mziki lazima utakua, cha msingi ni kuongeza vionjo na kupiga midundo inayoishi suala la kurudisha ladha za zamani siziafiki coz iliendana na uimbaji wa zama hizo siku hizi uimbaji na utungaji umebadilika sana

Mimi nasisitiza ladha ziendelee kama ni vionjo basi sio mbaya kuchanganya mapigo au ala za asili na midundo ya kisasa
 
Nyimbo za bongo kwa asili ni singeli. Bongo fleva ni miziki ya kuunga unga na kukopi nyimbo za nje
Singeli kiasili siyo muziki, ni mchiriku/chakacha au mnanda... Miaka ile akina Marijani Rajabu, Remy Ongala, Msondo ngoma nk wakipiga muziki, mchiriku au chakacha ilikuwa ikipigwa mitaani kama ngoma zingine za asili, tena hii ilikuwa Dar tuu...
 
Oky.
 
Singeli kiasili siyo muziki, ni mchiriku/chakacha au mnanda... Miaka ile akina Marijani Rajabu, Remy Ongala, Msondo ngoma nk wakipiga muziki, mchiriku au chakacha ilikuwa ikipigwa mitaani kama ngoma zingine za asili, tena hii ilikuwa Dar tuu...
Exactly
 
Sababu Nimemaliza nae High school @ Kwiro boys, Moro.
Uyo s2kizz wa umu aseme tumemaliza mwka gan, akipatia nitaamini ni yeye.
Saaafiii sasa wewe ndio nimekuamini moja kwa moja hi si mara ya kwanza kuona comment yako mkuu... hapa sasa naanza kuona kweli jamaa sio s2kizzy aiseee πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚βœŠβœŠβœŠβœŠβœŠβœŠβœŠβœŠ
 
Naamini katika Burudani, Msanii ndiye kiongozi wa Shabiki.. kwa mfano wako bado kuna uwezekano mkubwa wakuwauzia Viatu na Suti hao wamasai ikiwa tuu wataweza kumudu gharama kutokana na ushawishi wako. Bongo tunafeli katika ushawishi kwasababi Ubunifu ni Ziro..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…